Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
UDUMAVU wa fikra ndiyo wenyewe huu sasa. Hamjifichi! Karibu.Kuna jukwaa lake. Hapa tunajadili mambo muhimu na siyo huu unyumbu unaodumaza akili za watanzania.
Nawe umedumaa kifikra. Tafuta tiba kabla hujaathirika zaidi.Darasa lapili yazamani haina mwandiko huo wewe utakua lapili yakileo
Ongelea tu coz wewe ni mpumbavu mmoja hatari sana. Kama ungekuwa na akili, 1994(sijui kama ulikuwepo), South Africa walifukia mbuzi katikati ya uwanja ambao fainali za mataifa huru ya Africa zilichezwa nchini humo.
What did they mean?
Huna unalo lijua, 1994 Fainal za mataifa huru ya Afrika zilifanyika Tunisia na fainal wali ingia Nigeria na Zambia. Nigeria ilishinda mbili Kwa Moja. Usituletee vitu ambavyo havipo katika soka. Mambo yenu ya ulozi na kulichafua Taifa msifikiri wote tunafurahia.Ongelea tu coz wewe ni mpumbavu mmoja hatari sana. Kama ungekuwa na akili, 1994(sijui kama ulikuwepo), South Africa walifukia mbuzi katikati ya uwanja ambao fainali za mataifa huru ya Africa zilichezwa nchini humo.
What did they mean?