Simba Sports Club ime set standard

Simba Sports Club ime set standard

Makolo mmeamua kuja na thread za kujifariji baada ya msimu huu kutoka kapa.
Isubirieni Tsunami pale CCM kirumba
 
Ongelea tu coz wewe ni mpumbavu mmoja hatari sana. Kama ungekuwa na akili, 1994(sijui kama ulikuwepo), South Africa walifukia mbuzi katikati ya uwanja ambao fainali za mataifa huru ya Africa zilichezwa nchini humo.

What did they mean?

Kwahiyo umebwabwaja uharo wote huo bila hata nilimanisha nini kusema hirizi? Je, kama iliwahi kufanyika huko nyuma basi inahalalisha uchawi wa Simba.!

Umri wako sina tatizo nao, nikuhakikishie tu kuwa hata wapumbavu kama wewe huzeeka.
 
Anayemwelewa kocha wa Simba anatupeleka wapi atueleze !!
 
Ongelea tu coz wewe ni mpumbavu mmoja hatari sana. Kama ungekuwa na akili, 1994(sijui kama ulikuwepo), South Africa walifukia mbuzi katikati ya uwanja ambao fainali za mataifa huru ya Africa zilichezwa nchini humo.

What did they mean?
Huna unalo lijua, 1994 Fainal za mataifa huru ya Afrika zilifanyika Tunisia na fainal wali ingia Nigeria na Zambia. Nigeria ilishinda mbili Kwa Moja. Usituletee vitu ambavyo havipo katika soka. Mambo yenu ya ulozi na kulichafua Taifa msifikiri wote tunafurahia.
 
Back
Top Bottom