Simba Sports Club ime set standard

Simba Sports Club ime set standard

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
240
Reaction score
767
Wivu hufanya mtu aendelee kudumaa hufikiri ktk mawazo hasi mara zote hufurahia hasara kwa mwenzie kuliko kutatua udumavu wake.
Well msimu uliopita @simbaSCTanzania ilikuwa ktk kundi moja na AlAhaly simba sports club ilimaliza juu yake ktk hatua ya robo fainal simba sports club ikakutana na Kaizer Chiefs mechi ya kwanza simba sports club ikafungwa goli nne marudiano simba akashinda goli 3 akatolewa kwa tofauti ya goli moja ktk fainal wakakutana alahaly.com na Kaizer chiefs ALAHLY Akawa bingwa wa Africa maanake kundi la simba sports club lilitoa bingwa usisahau ilimaliza juu ya kundi
Msimu huu simba sports ilitolewa mapema ktka club bingwa Africa ikaangukia ktk kombe la shirikisho simba sports club ikapangwa na RSBerkane hapa tena simba sports club ilimaliza point sawa berkane point 10 simba ikapangwa na Olarndo pirates ktk robo fainal mechi ya kwanza ikapigwa lupaso simba sports club ikashinda moja bila mechi ya marudiano South Africa [emoji1221] simba ilifungwa moja bila mechi ikaamuliwa na matuta simba ikatolewa kwa penalt 4 kwa 3
Fainal jana imemkutanisha rs berkane na Orlando pirates bingwa amekuwa rs berkane kwa matuta 5 kwa 4
Yes kama kawaida wabezaji wameendelea kubeza kundi la simba sports club limetoa bingwa yawezekana ukadhani kejeli kwa simba sport club itaondoa ukweli kwamba rs berkane alikuwa kundi moja na simba sports club pia Orlando pirates walicheza robo fainal pia na simba sports club
Tatizo sio kuwa na pesa bali namna kuzilinda hizo pesa simba sports club imelinda ilichonacho kufika robo fainal na bingwa katokea kwenye njia yake sasa we baki na kutolewa mapema kwa kufungwa nje ndani ukazini ndio umeifikia simba sports club hapana jipange aisee hii michuano haitakiwi propaganda simba sports club ipo hapo kwasababu wana DREAM ya kuwa mabingwa Africa kwa timu zenye mawazo ya kimasikini zitabisha sana
Simba sports club nguvu moja [emoji881][emoji881][emoji881]
By Dismas Mwacha[emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621]
IMG_7299.jpg
 
Darasa lapili yazamani haina mwandiko huo wewe utakua lapili yakileo
 
Pale mlivyokuwa mnaroga uwanjani ndo standard zenyewe mlizokuwa mna set0

Makolo.jpg
 
Tuongelee na ile hirizi au tuache tu?
Ongelea tu coz wewe ni mpumbavu mmoja hatari sana. Kama ungekuwa na akili, 1994(sijui kama ulikuwepo), South Africa walifukia mbuzi katikati ya uwanja ambao fainali za mataifa huru ya Africa zilichezwa nchini humo.

What did they mean?
 
Andika kwa aya basi ndgu yangu kila kitu mpaka Ahmed au Barbara awafunze jamani.

Uzi umeucopy vizuri ila sasa tatizo hujarekebisha alama za uandishi.
Fanya editing ili usomeke vizuri.
 
Nakazia
Wivu hufanya mtu aendelee kudumaa hufikiri ktk mawazo hasi mara zote hufurahia hasara kwa mwenzie kuliko kutatua udumavu wake.
Well msimu uliopita @simbaSCTanzania ilikuwa ktk kundi moja na AlAhaly simba sports club ilimaliza juu yake ktk hatua ya robo fainal simba sports club ikakutana na Kaizer Chiefs mechi ya kwanza simba sports club ikafungwa goli nne marudiano simba akashinda goli 3 akatolewa kwa tofauti ya goli moja ktk fainal wakakutana alahaly.com na Kaizer chiefs ALAHLY Akawa bingwa wa Africa maanake kundi la simba sports club lilitoa bingwa usisahau ilimaliza juu ya kundi
Msimu huu simba sports ilitolewa mapema ktka club bingwa Africa ikaangukia ktk kombe la shirikisho simba sports club ikapangwa na RSBerkane hapa tena simba sports club ilimaliza point sawa berkane point 10 simba ikapangwa na Olarndo pirates ktk robo fainal mechi ya kwanza ikapigwa lupaso simba sports club ikashinda moja bila mechi ya marudiano South Africa [emoji1221] simba ilifungwa moja bila mechi ikaamuliwa na matuta simba ikatolewa kwa penalt 4 kwa 3
Fainal jana imemkutanisha rs berkane na Orlando pirates bingwa amekuwa rs berkane kwa matuta 5 kwa 4
Yes kama kawaida wabezaji wameendelea kubeza kundi la simba sports club limetoa bingwa yawezekana ukadhani kejeli kwa simba sport club itaondoa ukweli kwamba rs berkane alikuwa kundi moja na simba sports club pia Orlando pirates walicheza robo fainal pia na simba sports club
Tatizo sio kuwa na pesa bali namna kuzilinda hizo pesa simba sports club imelinda ilichonacho kufika robo fainal na bingwa katokea kwenye njia yake sasa we baki na kutolewa mapema kwa kufungwa nje ndani ukazini ndio umeifikia simba sports club hapana jipange aisee hii michuano haitakiwi propaganda simba sports club ipo hapo kwasababu wana DREAM ya kuwa mabingwa Africa kwa timu zenye mawazo ya kimasikini zitabisha sana
Simba sports club nguvu moja [emoji881][emoji881][emoji881]
By Dismas Mwacha[emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621][emoji1621]View attachment 2233199
 
Ukweli mtupu mkuu!
 
Tangu kuumbwa kwa dunia uto hajawahi kuvaa medali ya CAF . Nadhani kuna haja kubwa ya CAF kuanzisha kombe la wanafiki ili uto wabebe kombe lao.
 
Back
Top Bottom