Tetesi: Simba Sports Club kuhamia ligi ya Zanzibar mwakani: Move imeanza

Hizo bangi unazovuta uziache zitakufanya uokote makopo muda sio mrefu, yani Simba itoke ligi ya bongo ikahamie kwa wanywa urojo wa chambawima πŸ€”πŸ€” acha bangi wewe
 
kama ni msimu ujao tunamshukuru mungu kwamba tutamalizia ile mechi yetu ya mkondo wa pili tuwaage watani...kila la kheri muendako...sijawahi waza kama ntakuja shabikia timu ambayo inagawa vichapo mpk timu pinzani zinawakimbia,kuna kipindi hata barcelona walitaka wakimbie la liga nikaona hawa wanaikimbia madrid yangu hawa kkkkkkkkkk
 
Viongozi wa Zanzibar tokea maponduzi ni Yanga laugh 🀣 na kwakuwa lawama za kufungwa mara nne mfululizo wameipa serikali ya CCM basi ni bora waamie ligi ya Burundi au ya Kenya, huko CCM haina influence.
 
Hiyo ndiyo maana halisi ya ubaya ubwege.
 
Wanasimba lazima tutambue tu, Yanga ni kama maji, lazima tutakutana naye tu hata tukihamia Zanzibar.
 
Ni kweli kwamba sikubaliani na baadhi ya vitu kwenye ligi yetu lakini kufikiria kuhamisha timu ni uboya.
Viongozi wa simba acheni vitisho vya kishamba.
Tupambane hapa hapa mpaka tufikie malengo yetu.
Kabla hamjahama tukipige kimoja cha kuagana na Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…