Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..