Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mtu kuota ni haki kikatiba. Acha aendelee kuota mchanawe mpuuzi nini es setif msimu ulipita katolewa semi final na al ahly kwa mbinde .. unasema sio kigogo... na mwaka 2014 ndie bingwa wa caf champions league.. na kila msimu hatoki mapema.. unasema 2008.. unajua enyimba hata msimu ulipita mwaka huu mashindano ya caf ametolewa hatua gani
na unajua raja casablanca msimu ulipita nae mwaka huu katolewa hatua gani?
ligi za caf zina timu zake.. ambapo katika hizo timu simba haipo.. nakupa facts
mfano tukiitaja wydad casablanca huwezi itaja simba kwamba wako level sawa
we mpuuzi nini es setif msimu ulipita katolewa semi final na al ahly kwa mbinde .. unasema sio kigogo... na mwaka 2014 ndie bingwa wa caf champions league.. na kila msimu hatoki mapema.. unasema 2008.. unajua enyimba hata msimu ulipita mwaka huu mashindano ya caf ametolewa hatua gani
na unajua raja casablanca msimu ulipita nae mwaka huu katolewa hatua gani?
ligi za caf zina timu zake.. ambapo katika hizo timu simba haipo.. nakupa facts
mfano tukiitaja wydad casablanca huwezi itaja simba kwamba wako level sawa
Unaikumbuka Raja Casablanca?
Mkuu, Umesikia ya Magori?Mbumbumbu FC/Mikia FC katika ubora wao, wana akili ya kuku kweli...mpira ule mbovu unawaza kuchukua kombe aiseee....Rage hakukosea.
Nyie mapopoma tu.Mlikuwa makuwadi wa Mbabane na Nkana wametolewa.Mmehamia kwingine.Mbumbumbu FC/Mikia FC katika ubora wao, wana akili ya kuku kweli...mpira ule mbovu unawaza kuchukua kombe aiseee....Rage hakukosea.
Lazima aikumbuke ilimpiga 6 mtungi hiyo rekodi haijawahi kuvunjwa kwa timu za Tanzania.Unaikumbuka Raja Casablanca?
Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..
Tungekuwa kila mechi tunakutana na Yanga, tungekuwa mabingwa wa kihistotia.Ingekuwa mechi zote hizo wanakutana tu na Nkana, basi wangekuwa mabingwa!
Mrembo najua unajua hesabu kidogo.Halafu Mo atachukua asilimia 49 ya mkwanja wote. Plus na anazowakopesha. Basi hizo zote zitakwenda kwa Mo. Business tu, Mo sio mjinga kuwa share na Simba.
Hasidi hana sababu.Sijawahi ona mashabiki wenye roho mbaya kama wa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Simba kuombewa mazuri wao wanaumia
Haya shabiki kindakindaki wa Nkana ya TanzaniaIngekuwa mechi zote hizo wanakutana tu na Nkana, basi wangekuwa mabingwa!