SIMBA SPORTS CLUB KUVUNA Bilioni 5.6 ikitwaa kombe Club bingwa Afrika

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..
 
Ingekuwa mechi zote hizo wanakutana tu na Nkana, basi wangekuwa mabingwa!
 
Mkuu umezingua badilisha kauli wakaze BUTI!!

[emoji2][emoji2][emoji2]ukitaka kufanya kazi ya kiume kwa ufasaha,iwe kinyanyua jiwe,gogo,au kupiga shuti-tako lazima likazwe hasa,kama unabisha muulize mchezaji yeyote.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]ukitaka kufanya kazi ya kiume kwa ufasaha,iwe kinyanyua jiwe,gogo,au kupiga shuti-tako lazima likazwe hasa,kama unabisha muulize mchezaji yeyote.
Kiroho safi wakaze buti (Maui) na Tako
 
[emoji2][emoji2][emoji2]ukitaka kufanya kazi ya kiume kwa ufasaha,iwe kinyanyua jiwe,gogo,au kupiga shuti-tako lazima likazwe hasa,kama unabisha muulize mchezaji yeyote.
uko sawa
 
Labda Robo ya Mbege!!

ha ha ha zamani hatua ya makundi ilikuwa kama robo fainali.. washindi wawili wa kila group wanaenda nusu fainali...

ila caf ikaona iongeze timu. hatua ya makundi sasa hivi ni kama 16 round.. ambapo ukipita unaenda robo..

so kwa hii stage simba hata wacheze 30 wote hawawezi kufika nusu fainali.. sembuse kufika robo.. maana hata wakipona hii stage.. hatua inayofata ni vigogo tupu kina enyimba, al hally, esperence, mamelodi soundown, es setif, raja casablanca, canon yaunde, mamelodi sundown, kaizer chiefa, mazembe, na wengineo wengi sijawataja ndio level zao
 
Naona mara ya mwisho kuangalia mpira ilikuwa 2008.
ES setif,Raja Casablanca,Kaizer Chiefs,Canon Younde na Enyimba wala kwa sasa sio vigogo kwani hawapo kwenye CAF Champions League.
 
Naona mara ya mwisho kuangalia mpira ilikuwa 2008.
ES setif,Raja Casablanca,Kaizer Chiefs,Canon Younde na Enyimba wala kwa sasa sio vigogo kwani hawapo kwenye CAF Champions League.

we mpuuzi nini es setif msimu ulipita katolewa semi final na al ahly kwa mbinde .. unasema sio kigogo... na mwaka 2014 ndie bingwa wa caf champions league.. na kila msimu hatoki mapema.. unasema 2008.. unajua enyimba hata msimu ulipita mwaka huu mashindano ya caf ametolewa hatua gani

na unajua raja casablanca msimu ulipita nae mwaka huu katolewa hatua gani?
ligi za caf zina timu zake.. ambapo katika hizo timu simba haipo.. nakupa facts

mfano tukiitaja wydad casablanca huwezi itaja simba kwamba wako level sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…