SIMBA SPORTS CLUB KUVUNA Bilioni 5.6 ikitwaa kombe Club bingwa Afrika

Vyema mkawashauri CAF wawape kabisa. Si kwa mpira mkubwa wa Mikia.
 
Mkuu, mtu kuota ni haki kikatiba. Acha aendelee kuota mchana
 
Unaikumbuka Raja Casablanca?
 
Unaikumbuka Raja Casablanca?

ndio hapo mjini Casablanca kuna timu kubwa mbili mmoja Raja Casablanca na mwingine ni Waydad Casablanca

Na Raja casablanca ndie bingwa wa Caf confederation Cup msimu uliopita.. amelitwaa mwaka huu
 
Mbumbumbu FC/Mikia FC katika ubora wao, wana akili ya kuku kweli...mpira ule mbovu unawaza kuchukua kombe aiseee....Rage hakukosea.
 
Mbumbumbu FC/Mikia FC katika ubora wao, wana akili ya kuku kweli...mpira ule mbovu unawaza kuchukua kombe aiseee....Rage hakukosea.
Mkuu, Umesikia ya Magori?
Wameandika barua FIFA iwaruhusu kusajili wachezaji wapya watumike hadi ligi ya ndani.
Dirisha limefungwa juzi tu lakini wao waruhusiwe kupindisha sheria za TFF. Huyo Bwalya tayari kesha cheza CAF lakini aruhusiwe tu kinyume na kanuni za CAF.
 
Wacha historia mkuu. Hizo unazozitaja zipo CAF champions league ya mwaka huu 2018 -2019 au hapana?
 
Mbumbumbu FC/Mikia FC katika ubora wao, wana akili ya kuku kweli...mpira ule mbovu unawaza kuchukua kombe aiseee....Rage hakukosea.
Nyie mapopoma tu.Mlikuwa makuwadi wa Mbabane na Nkana wametolewa.Mmehamia kwingine.
Roho za husda na usonoko zitawadhuru nyie tu.Mnakosa hata nauli ya kupeleka timu yenu Mbeya lakini mnajifanya washauri wa wengine.
Mko uchi badala ya kuchutama mnaonyesha ujinga wenu. Klabu ipo chini ya uangalizi lakini mashabiki wake misukule hawaulizi chochote bali kumzulia Manji.
Sasa wanamlazimisha kocha amsamehe Kakolanya.
Yeye kocha mwenyewe anashangaa viongozi"feki" waliozoea kupiga pesa zao .
Timu inapata udhamini wa bilioni 1 kutoka Sports Pesa inakosa mishahara na hata nauli ya kwenda Mbeya.Wajinga misukule haijiulizi.
Popomas wake up.
Pukachaka!
 
Sijawahi ona mashabiki wenye roho mbaya kama wa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Simba kuombewa mazuri wao wanaumia
 
Kwenye kumi na sita zilizofuzu kuna aina kuu tatu za timu, mosi kuna timu zilizo bora yani kila idara mpaka sub ,Pili.kuna timu ngumu hizi timu huwa ni kukamia tuu uwe na timu nzuri ila wanaubavu wa kukukamia na hata kukufunga mfano loby stars ya nigeria, tatu ni timu zilizofuzu kwa motisha ya kebineti mpaka washabiki hawa wanakuwa na uwezo wakiwa home ground ugenini kwao ni shida
 
Na itavuna mara tatu kama si zaidi ya hiyo wakishinda FIFA Club Championship.
 
Halafu Mo atachukua asilimia 49 ya mkwanja wote. Plus na anazowakopesha. Basi hizo zote zitakwenda kwa Mo. Business tu, Mo sio mjinga kuwa share na Simba.
 
Halafu Mo atachukua asilimia 49 ya mkwanja wote. Plus na anazowakopesha. Basi hizo zote zitakwenda kwa Mo. Business tu, Mo sio mjinga kuwa share na Simba.
Mrembo najua unajua hesabu kidogo.
Jibidishe kidogo hata hesabu hizi ndogo zinakupiga chenga.
Umesoma bajeti ya Simba kwa msimu ujao?
Au na wewe ni wale wale wa vijiwe vya ghahawa.
I assume you are better than that.
 
Sijawahi ona mashabiki wenye roho mbaya kama wa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Simba kuombewa mazuri wao wanaumia
Hasidi hana sababu.
Kwani wewe hujawahi kumwona mbwa anamfukuza mbuzi asile majani?
Mbuzi akiondoka huyo mbwa hana uwezo wa kula hayo majani.
Ni uhasidi wa mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…