Majina code kibao Kama Uzi wa Dark daysNabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk
Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!
Open the codes, as simple as that!Majina code kibao Kama Uzi wa Dark days
Unapataje wachezaji huna hela?Simbba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga.Nabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk
Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!
idadi ya mabondia inajaa Kolo FC! watu wanaumwa wana ghadhabu zimepitiliza!Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga.
Huyo mido kisheti hui hui anawafaa sana makolo pale kati labda tu akutane na miba za mkudeNabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk
Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!