Simba sports club: ubahiri siyo deal lipeni vizuri wachezaji wenu

Simba sports club: ubahiri siyo deal lipeni vizuri wachezaji wenu

Tu nataka kujua UJENZI wa uwanja wa kigamboni umeishia wapi au ndo mmepisha kwanza corona ipite?
 
Waache watu na maisha yao.kufatilia maisha ya watu ni uchawi.
Hahahahhahahhhhh kajianika mwenyewe kufichua figisu za Mo Eti anatumia bilion 4 kulipa mishahara kumbe wapi Shibubu anapokea zake elfu saba kwa mwezi. Simba acheni unyonyaji Mungu anawaona
 
Ningekuwa Mimi kichwa cha habari ningeandika "PICHA TOKA SUDANI KUSINI"..😅

Mweka mada hujui maneno ya figisu wewe na propaganda pole sana ila picha haujaitendea haki..😂
Daaaaaaah kweli nimefeli siku nyingine nitakushirikisha tuweke mambo sawa
 
Hahahahhahahhhhh kajianika mwenyewe kufichua figisu za Mo Eti anatumia bilion 4 kulipa mishahara kumbe wapi Shibubu anapokea zake elfu saba kwa mwezi. Simba acheni unyonyaji Mungu anawaona
Shiboob ajawai kula bata kama anazokula Simba Sports Club.
Simba ndo timu inayohudumia vizuri wachezaji East Africa.
 
Shiboob ajawai kula bata kama anazokula Simba Sports Club.
Simba ndo timu inayohudumia vizuri wachezaji East Africa.
Haaaaahhhaah bata gani anayokula anakosa mpaka buku ya kununulia chanuo ya kuchania nywele
 
Haaaaahhhaah bata gani anayokula anakosa mpaka buku ya kununulia chanuo ya kuchania nywele
Haaa,,,!!!!wewe jamaa utanivunja mbavu bwaashee.Life style yake tu hiyo.

Una habari yanga kapigwa 5-0 na KMC timu ya Makonda?
 
ni aibu mchezaji wa kimataifa kushindwa kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri ya kuishi. Simba msimwonee Mo aibu mwambieni ukweli aache unyonyaji alipe vizuri wachezaji wenu
Hata kama analipwa vizuri, Mo hawezi kumlazimisha awajengee wazazi wake,hilo ni suala binafsi la mchezaji na familia yake.
 
Back
Top Bottom