bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Viongozi simba sports club VUNJA mkataba wa KAPOMBE na FREDY Michael, VIWANGO gyao ni vidogo kwa Sasa.
KAPOMBE ameichezea Simba kwa muda mrefu Sasa, kinachotakiwa ni kumpa mkono wa kwaheri Ili kulinda heshima yake.
Aidha KAPOMBE Hilo ni duka pia ambalo lilisababisha tusichukue ubingwa.