Ubigwa unanogaje unapovaa kandambili nyekundu za mtani
 
Ubigwa unanogaje unapovaa kandambili nyekundu za mtani
 
Ubingwa sasa ndo umekaa vizuri aswaaaaaaa! Simba Ooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee(Simba 5-0 Yanga)
 
Dah!!!.....

Hii ni FEDHEHA sasa.....

Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....

Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...

Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....

Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....

Kila la heri katika CAF CL........

Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...

Bala.
 

Mkuu Bala,
Poleni sana.
Mwisho wa Ligi ya Msimu huu ni mwanzo wa Maandalizi ya Msimu ujao,

Jipangeni kwa Msimu mpya!
 

Poleni sana ndo mpira ulivyo mwaka huu mnyama ni mkali zaidi ndani na nje ya Tanzania
 
Asante Mungu kwa kuwa umetimiza furaha ya wanasimba ya kuchukua ubingwa na ushindi mnono wa magoli.Mungu ibariki simba na Tanzania kwenye mechi zikimataifa ili timu iweze kuendelea kutuwakilisha vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…