Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Halafu mtoto ambaye hatumwagi dukani miaka yote ni mimi inabidi mnilinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa. Waambie.
Mbona mapema mkuuMfululizo wa mechi za ligi kuu ya NBC unaendelea.
Na weekend hii ni Wagosi wa Ndima, Coastal Union wakiwaalika Simba Sports Club katika dimba la Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Kaluta pale Arusha.
Ikumbukwe mchezo wa kwanza, Timu hizi zilitoka sare ya 2-2 pale KMC Complex.
Hii itakuwa mechi ya muhimu kwa Simba kabla ya kukutana na Yanga weekend ijayo katika Kariakoo Derby ambayo itaamua mbio za Ubingwa.
Mechi itakuwa Saa 10:00 jioni