Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Ya mayanja kocha wetu huyo ametoka COASTALMayanga? Tangu lini ameacha kazi Prison?
tunachukua kombe...Mwaka huu mumefulia
ndizo dalili zenyewe za ubingwa hizo...mmh.. hii thread toka 2014 haijaguswa mpaka 2016.!!
Mtibwa kalala kimojaMatokeo vp taifa
Tafuna mbayaaaa kama samaki aliwavyo....Mtibwa tumemtafuna vibaya kama nlivyo ahidi
Simba 1-0 MtibwaMatokeo vp taifa
Mayanja nomaTafuna mbayaaaa kama samaki aliwavyo....
Misukule ya India imetulia, hayo ndiyo mambo ya Mayanja.
Mkuu noma sanaMiwa yote tumesafisha uchafu tumetupa kwenye dampo la bonde la mafuriko usaidie kulisha kambale wa jangwani.
Kaanza vizuri..Mayanja noma
Pongezi kwakeKaanza vizuri..
Alishinda jana Azam??Azam FC bado kidogo ..