Tatzo la tim zetu za bongo hasa hzi kubwa naona kama uvumilivu wa matokeo ya mchezo hawana
 
Wanaokota vikocha vya ajabu toka huko nje baada ya miez kadhaaa wanavitimu, makocha wenyew unajikuta hawamfaham mchezaj ata1 je atawezaj kukabiliana na timu zingine kama ata timu yake hajui viwango vya wachezaj wake.......
 
Walitoka 1-1 kwahiyo mpaka sasa gape Kati yao na sisi ni point 6.
Kitaeleweka tu
Kaeni chini mjiulize, tulianza pamoja bila pointi yoyote, ilikuwaje ninyi mkalitengeneza au mkatengenezewa hilo gap? Kama ilivyokuwa vigumu kulitengeneza au kutengenezewa hilo gap ndivyo ilivyo vigumu kuliondoa gap hilo. Mtasubiri sana, gap haliondoki hadi mwisho wa ligi. Mtabaki hapo hapo nafasi yenu ya tatu.
 
...wacha kulia lia kwenye nyumba za watu,kwani imeandikwa wapi ukiongoza kabla ligi kwisha lazima uwe bingwa?!
 
We subiri acha kuweweseka hapa, baada ya round 5 zijazo rudi hapa tena uone.
 
litaondoka mkikutana na tukikutana...
 
Simba nguvu moja leo wakimataifa almanusura watoe sare
Kwani manunuzi hakuna mpaka watoe sare au mkuu hukuona mvua ya matuta iliyokuwa ikitolewa na mwamuzi.
Unadhani watu wanakataa uchaguzi mkuu kwa sababu gani? Govinda akiondoka nani atatunua mechi, unataka tupigwe 5 o clock tena nini?
 
Tunampumulia teja letu makalioni, huyu wetu tu hatushughulishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…