kwa kipimo cha mechi ya Leo?Mayanja apewe ukocha mkuu
No kashinda mechi tatu zote inaonekana amewaza kurejesha morali ya wachezajikwa kipimo cha mechi ya Leo?
TAnga kunani mkuu lete ubuyuTanga kimenuka leo
I love this.Coastal Union 2- Yanga 0, dakika ndo zinayoyoma hizo.
Acha wakalie nshavaa jezi yangu nyekundu hapa nakula nyama tuSimba yashinda, yanga yakalia, RAHA SANA!
Ana point zetu huyo mjinga na tutamchapa tu maana hakuna namnaIn real situation, tayari tumefungana point na yeboyebo.