Watani Wazembe vip leo jumamosi mbona mmetelekeza uzi wenu? Nilijua tu lazima muanze kufarakana. Baada ya majigambo mengi leo mmeshindwa kuiramba rambaramba. Ni lazima tu mmeshaanza kutafutana uchawi. Mnatafunana wazimawazima.
Shauri zenu na majigambo yenu (mbio za panya huishia ukingoni)
Tupo mkuu. Ila kocha anaboaWana simba mpoooo
Hahahaaa. Acheni kulialia. Mliyataka wenyewe, leo mmeanza na kocha kesho mtahamia kwa wachezaji wanu kwamba wanawahujumu na hawajitumi.Tupo mkuu. Ila kocha anaboa
Hahahaaa. Acheni kulialia. Mliyataka wenyewe, leo mmeanza na kocha kesho mtahamia kwa wachezaji wanu kwamba wanawahujumu na hawajitumi.
πππππππππππ
Naona zina zidi kusambaa kweliNi kweli kocha msaidizi amajiengua ??