Umefata niniNyie mikia fc mpo? Nawapa salam october 28 karibuni mvunje tena viti.
Hehehehee nmekuja kuwaamshia popo, group liko dolo utafikiri timu daraja la tatuUmefata nini
La kwenu hakuna?Hehehehee nmekuja kuwaamshia popo, group liko dolo utafikiri timu daraja la tatu
Taifa kubwa... Aaaangurumapo shimba......Uzi huu Ni maalumu kwa wanachama,mashabiki Na wapenzi wa timu ya Simba kujadili masuala ya timu Na kupeana taarifa za klabu.
thanks for appreciation brotherhood mshana jrTaifa kubwa... Aaaangurumapo shimba...... View attachment 629352
nitajie huku jf Kama Kuna group la msimbazi. Najua yako whatsapp ila sio humu jf so sio mbaya nasi tukiwa Na platform yetuSio sahihi kuweka uzi huu hapa. Kumbuka masuala ya klabu ni siri ya wana-klabu. Hapa sio kila mtu ni Simba nakushauri ingia katika magrupu mbalimbali ya wnachama huko utakuwa sahihi kujadili kila kitu
Asante mkuu pamojaSawa Wekundu tupo nawe sambamba
dah Safi Sana kuwa nawe humu,pamojaNgoja waje mm shabiki namba moja
Simba dume temboninitajie huku jf Kama Kuna group la msimbazi. Najua yako whatsapp ila sio humu jf so sio mbaya nasi tukiwa Na platform yetu
Akiwemo mkeo, mamaako, binti yako, dadaako, shangazi yako, binamu yako wa kike, mama mkwe wako, mwalimu wako wa kike, nesi, nk nkn nkSimba ni timu ya mademu
Humu Jf Jukwaa la sports Kuna Special thread ya Simba, washabiki tupo Huko, itafute kwenye stickesnitajie huku jf Kama Kuna group la msimbazi. Najua yako whatsapp ila sio humu jf so sio mbaya nasi tukiwa Na platform yetu