Akiwemo mkeo, mamaako, binti yako, dadaako, shangazi yako, binamu yako wa kike, mama mkwe wako, mwalimu wako wa kike, nesi, nk nkn nk
Mtan wangu wa kariako mbona povu aisee au ndo umeanza kushabikia mpira jana
 
Kuna lile group la whatsapp la Simba naomba mwenye link anipe nilikuwepo ili nilipoteza phone
 
Timu ya Simba imeondoa nuksi ya miaka minne na miezi tisa ya kushindwa kupata ushindi mbele ya Prisons inapocheza kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Mara ya mwisho Prisons ilifungwa bao 1-0 na Simba katika mchezo uliochezwa Februari 13,2013.
 
Lakini jana alikuwa ni John Bocco aliyeondoa nuksi hiyo kwa kufunga bao pekee katika mchezo huo, hilo likiwa ni bao lake la pili msimu huu.

Nahodha huyo wa zamani wa Azam, alifunga bao hilo kwa shuti la mguu wa kulia katika dakika ya 84, baada ya kugeuka kwa kasi kuuwahi mpira uliokolewa vibaya na mabeki na kuachia mkwaju mkali.
 
Wakati Bocco akifunga bao hilo, baadhi ya mashabiki wa Simba walikuwa wameshaanza kutoka nje kwa kukata tamaa wakiamini timu hizo zitatoka suhulu.

Simba imezidi kuikimbia Yanga baada ya kufikisha pointi 22, pointi tano mbele ya mabingwa hao watetezi wanaoshuka dimbani leo kuikabili Mbeya City kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
 
Bocco alisema anaona fahari kufunga bao muhimu lililowapa pointi tatu na wametimiza malengo ya kuondoka na pointi sita katika michezo yote miwili mkoa wa Mbeya.

“Tulimiliki mpira kipindi cha kwanza, lakini hatukufunga. Wakati wa mapumziko kocha alituambia tutulie na tukafanya hivyo kipindi cha pili na kufanikiwa kupata bao,” alisema Bocco.
 

Wanajamvi?

Hivi mtu akitaka kuhudhuria mkutano wa jumapili lazima awe mwanachama?

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…