Jamani picha za uwekwaji wa jiwe la msingi ziko wapi humuu, mbona ni jambo kubwa sana lazima liwepo hapa kama kumbukumbu
 
KIKOSI CHA SIMBA VS UD SONGO
1. KAKOLANYA
2. KAPOMBE
3. GADIEL
4. NYONI
5.WAWA
6. MKUDE
7. CHAMA
8. SHIBOUB
9. KAGERE
10. BOCCO
11. KAHATA
SIMBA NGUVU MOJA
 
sio lazima ila tuna advantage ya home ground kumbuka tulichomfanya harambee stars kwao kinaweza kututokea!
Simba siku zote ni Simba wanapolitka lao elewa ivyo kuna vitu vinaenda kutokana na mentality ya timu au historia,Simba wanapokua wamoja na wapo Bora Taifa huwa hatoki mtu kwa vyovyote vile iwe jua,iwe mvua
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…