KUHUSU KADI NYEKUNDU YA PASCAL WAWA Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi Kuu VPL kifungu cha 38 kifungu kidogo cha kwanza kinasema "Mchezaji atakayetolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano katika mchezo wa ligi hataruhusiwa kucheza mchezo mmoja unaofuata wa timu yake". https://t.co/8ZKq3PC52Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…