Leo hawana presha wanacheza na tawi laoCoastal piga hizi mbwa ! Bila penalti wala redcard hazishindi
Wanacheza saa ngapi!?Leo hawana presha wanacheza na tawi lao
Mchezaji mwenye mwili mdogo namna hiyo hawezi kuwa msaada kwenye timu kwenye mashindano makubwa.Ivi uyu dogo wa Biashara Denis Nkana hatuwez tukamuiba[emoji16] namuona kama Luis mpya
Saa mojaWanacheza saa ngapi!?
Coach anaelekezwa na Erasto Nyoni kwel viongozi wametuchoka,ndo yaleyale ya Haruna na NabiKaaz kweikwei tatizo cocha,wachezaji au viongoz wa clab?
Mpeni timu Nyoni ErastoSasa kocha anapewa maelekezo na Erasto Nyoni unategemea nini[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngapi ngapi ukoSimba inatakiwa wawapige hawa watu 5 leo.
Nahisi baada ya mechi za Yanga kuna juhudi zinafanywa ili simba afungwe au apate sare,hili walitambue