Na nyie mlishasahau kama mlilikandia wee pindi tumechukua leo hii munaliona ni kombe na sio bonanza tena. Lol.Hili kombe ndio mlitamba nalo sana na yule injinia wa mchongo wa kisomali alisema aulizwe mkilikosa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwa kweeli.
Kwahiyo unajikana?Aah! Mtani wacha kunichonganisha bana.
😀Kwahiyo unajikana?
Tumetoboa Tundu Moja Kwa Azam
TayariWe Are the Champions
Hatujaacha kitu 😎Tayari
Hatujaacha kitu [emoji41]
Mchezaji Bora wa mashindano - Pape Sakho
Mfungaji Bora - Medie Kagere
Golikipa Bora - Aishi Manula
#MapinduziCup2022 #NguvuMoja https://t.co/LdiEYkk9B6
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanatamani kusema goli la penalt ila wakikumbuka zile 9 za Johora wanaishiwa nguvu wanakufa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app