Makolo hivi bado mnamchangia Kanji kujenga uwanja baada ya demu wake kukomaliwa kufuata kanuni uwanjani? Kama mnaendelea kutuma poleni kweli nyie Mbumbumbu
 
SSC we need to do something very quick ,hali sio nzuri michuano ya shirikisho wale marefa wapo makini sana tukutane tar 13.

Ukiangalia vizuri video ya hili tukio ule mpira Kagere aliugusa na ndiyo maana ukabadili muelekeo kabla beki wa Mbeya Kwanza kuugusa...

Yote ya yote point tatu zimepatikana ... Nguvu Moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…