Simba Sports Club yamtambulisha Djuma Masoud kuwa kocha mpya msaidizi

Mayanja ni kocha mzuri sana.
Simba kupitia Mayanja inacheza mpira unaoeleweka, tukiacha mapenzi na ushabiki maandazi Simba ni miongoni mwa klabu chache katika premier league zinazocheza mpira unaoleweka.
Anyway, acha tuone huyu Masoud atakachofanya.
Mwenye CV ya huyu jamaa kwenye career ya ukocha atuwekee hapa maana kwenye vyanzo vyangu vyote sipati majibu.
 
Kwanza Uhamiaji inabidi wafuatilie tuone kama ana kibali. Adui mwombee njaaa
 
Kasomea ufaransa au ujerumani kama sijakosea

Alichukua ubingwa wa Rwanda na Apr msimu uliopita na kocha bora

Mchezaji wa zamani wa Burundi na APR ..

Alikuwa coach msaidizi wa Burundi national team

Anasifika na soka la kushambulia na ni kijana wanaomjua wanasema ana passion na mpira
 
Jamaa anakuja kwa mbwembwe kwa kuisoma timu kwenye magazeti ya udaku anafikiri booonge la timu......siku ya kwanza atapokelewa vizuuri sasa asubiri shughuli ya jeshi ianze
 

Hata Mayanja alipokuja Simba SC tulipewa ' Sifa ' kem kem kama hizi na hatimaye leo hii wale wale waliotupa ' Sifa ' zake ndiyo wamemfurumusha / wamemfukuza japo ' Kidiplomasia ' kwa kumwambia ajifanye ana matatizo yake ya Kifamilia ili akifanya hivyo tu wamalizane nae ' Kisela ' kwa Kumlipa ' madeni ' yake ili huko mbele asije ' Kuidai ' Simba. Klabu za Simba na Yanga zinaharibiwa na 10%, Viongozi na Wapenzi wake ' tegemezi '. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Huyu jamaa alichukua ubingwa Rwanda. Leo kaja kuwa msaidizi matopeni.
Mrundi wa Mbao amekataa habari ya kuwa kocha msaidizi
Namuhurumia sana huyu maana ni ngumu sana kuwa kocha kwenye hiyo timu kufanyakazi na viongozi wa hiyo timu....tetesi ni kuwa Omog nae ni kakalia kuti kavu alafu uyo mpya ndo atachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…