KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Wameamua kumchukua mrundi kwa kuwa Mbao inawasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana ya kuchukua nafasi ya Omog. Siku chache au wiki zijazo.haya maswali yatapata majibu tu
Kwanza Uhamiaji inabidi wafuatilie tuone kama ana kibali. Adui mwombee njaaaMayanja ni kocha mzuri sana.
Simba kupitia Mayanja inacheza mpira unaoeleweka, tukiacha mapenzi na ushabiki maandazi Simba ni miongoni mwa klabu chache katika premier league zinazocheza mpira unaoleweka.
Anyway, acha tuone huyu Masoud atakachofanya.
Mwenye CV ya huyu jamaa kwenye career ya ukocha atuwekee hapa maana kwenye vyanzo vyangu vyote sipati majibu.
Kasomea ufaransa au ujerumani kama sijakoseaMayanja ni kocha mzuri sana.
Simba kupitia Mayanja inacheza mpira unaoeleweka, tukiacha mapenzi na ushabiki maandazi Simba ni miongoni mwa klabu chache katika premier league zinazocheza mpira unaoleweka.
Anyway, acha tuone huyu Masoud atakachofanya.
Mwenye CV ya huyu jamaa kwenye career ya ukocha atuwekee hapa maana kwenye vyanzo vyangu vyote sipati majibu.
Nani ana historia ya kufungwa na mbao kati ya simba na yangaWameamua kumchukua mrundi kwa kuwa Mbao inawasumbua
Kasomea ufaransa au ujerumani kama sijakosea
Alichukua ubingwa wa Rwanda na Apr msimu uliopita na kocha bora
Mchezaji wa zamani wa Burundi na APR ..
Alikuwa coach msaidizi wa Burundi national team
Anasifika na soka la kushambulia na ni kijana wanaomjua wanasema ana passion na mpira
Kuna mtu alisema kuwa huwa unajaza tu server naanza kuaminiWalilia point Fc hongereni
Umewahi kufanya nini? Acha uzembeLeo nimemuwahi Joseverest
Ulitaka mkeo ndio atambukishwe?Bi Hindu fc kwa sanaa hawajambo, jana kocha msaidizi kajiuzulu kwa matatizo ya kifamilia, leo kocha mpya anatambulishwa!
Atambulishwe dada yakoUlitaka mkeo ndio atambukishwe?
Hamjui Bi Hindu huyuuuuJamaa anakuja kwa mbwembwe kwa kuisoma timu kwenye magazeti ya udaku anafikiri booonge la timu......siku ya kwanza atapokelewa vizuuri sasa asubiri shughuli ya jeshi ianze
Namuhurumia sana huyu maana ni ngumu sana kuwa kocha kwenye hiyo timu kufanyakazi na viongozi wa hiyo timu....tetesi ni kuwa Omog nae ni kakalia kuti kavu alafu uyo mpya ndo atachukuaHuyu jamaa alichukua ubingwa Rwanda. Leo kaja kuwa msaidizi matopeni.
Mrundi wa Mbao amekataa habari ya kuwa kocha msaidizi
Poa poaKuna mtu alisema kuwa huwa unajaza tu server naanza kuamini
Jamaa kasema sababu mbao inawasumbua hajasema imefungwa.Nani ana historia ya kufungwa na mbao kati ya simba na yanga
Inasumbua vipi?hakati hawajatufunga?Jamaa kasema sababu mbao inawasumbua hajasema imefungwa.