Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma mbona hamuwazi kuanzisha makazi ya Krabu Dodoma.
Pale mlipo kwanza hapafai. Mmebaki na majengo ya kihistoria niwaombe myakabidhi Idara ya makumbusho.
Tafuteni maeneo Dodoma jengeni majengo ya kisasa, muweke viwanja vyenu vya ndani wekeni maeneo ya fitiness, swiming pools , madarasa ya kisasa ya kujifunzia na kuwaandaa vija Wa academi mlithishe vipaji kwa kizazi cha kesho , wekezeni hoatel ya kisasa ambayo timu zinazowafuata zinaweza kupata accommodation mwende sambamba na ujenzi Wa kiwanja cha Mpira Wa kimataifa unaotegemewa kujengwa hivi punde Dodoma.
Mtapataje pesa, niwape wazo. watangazie wazo mashabiki wote hata wakichangia elfu kumi tu wanachama wote nchi nzima kupata B200 za kuanzia ni suala dogo.
Tanzania mpya virabu na jengo la Mzee karume hadi Leo na hill la msimbazi ambalo hata mwenyekiti hana mahali pa kupack hata gari lake.
Mie naanza na elfu 20000 kumi kwa Yanga na kumi kwa simba nawauzia wazo.