Simba Super Cup | Al Hilal wawatuliza TP Mazembe, wapigwa 2-1 Uwanja wa Mkapa

Hata wewe pia umekosea hesabu hapo. Tp Mazembe wana goal difference ya -1 huku Simba wana goal difference 3. Hivyo Tp Mazembe wanatakiwa washinde goli nne kwa sifuri ndio atakuwa amemfikia Simba kwa kuwa nae sawa kwa kuwa na goal difference 3. Na ili amzidi Simba basi anatakiwa ashinde goli tano kwa sifuri

Sijui hesabu mnajifunzia wapi ndugu zangu....
Haya twende taratibu:

Mazembe ana -1 hadi sasa, Simba ana +3.
Mazembe akishinda 3 - 0 (au ushindi wowote wa tofauti ya magoli matatu mfano 4 - 1 n.k) hali itakua kama ifuatavyo:

Hesabu ya Mazembe:
-1 + 3 = +2
Hesabu ya Simba:
+3 - 3 = 0

Sasa ulisikia wapi timu yenye 0 inakua juu ya ile yenye +2
 
Upo Sawa ila Simba ya kufungwa 3 bila na tp mazembe aliondoka nayo Uchebe!

Ulichosema mwanzo ni sahihi.
Sudani hadi sasa ana goal difference -2 kafungwa 5 kafunga 3.

Mazembe akimfunga Simba 3-0, Simba atakuwa wa goal difference 0 maana ana goal 4 na kafungwa 4.
Hivyo Mazembe atakuwa Bingwa kwakuwa na goal difference 2 kafunga 4 kafungwa 2.

Mazembe akimfunga Simba 2-0 atakuwa na GD 3-2 =1 na Simba atakuwa na GD 4-3=1 hivyo Mazembe anaweza kuwa Bingwa kwakuwa kamfunga Simba ktk mechi yao.
Karibuni kuchangia.

Naomba kuchangia hiyo aya ya mwisho, matokeo ya Simba kufungwa 2 - 0 moja kwa moja yanampa Ubingwa Simba. Nitaeleza.

Nianzie kwenye kanuni za mashindano kwanza:

Orodha ya ''viondoa mfanano'' (tie breakers) kwa mashindano haya viko kama ifuatavyo na vimepangwa kwa umuhimu yaani kinaanza kipi, kinafuata kipi (in order of preferences).

1. Goal differences
2. Head to head
3. Disciplinary performance

Huwezi kutumia kigezo cha pili kabla cha kwanza hakijashindwa kazi, vivyo hivyo huwezi kutumia cha tatu kabla ya cha pili hakijamaliza kazi yake.

1. Goal difference:
Hii ina sehemu mbili:
a) Utofauti wa magoli ya uliyofunga dhidi ya yale uliyofungwa.
Mkifanana hapa, mnaangalia sehemu b.

b) Idadi kubwa ya magoli ya kufunga.
Mfano; Mwenye magoli 2 ya kufunga na kafungwa 2 ana GD ya 0 Sawa na yule mwenye magoli 6 ya kufunga akiwa kafungwa 6.
Kwenye mazingira haya kigezo (1.a) hakitatoa mshindi, ila kigezo (1.b) kitampa faida huyu mwenye magoli 6.

Hivyo ni bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko kufunga na Kufungwa magoli machache.

2. Head to head:
Hii nayo ina sehemu mbili:
a) Matokeo ya jumla.
Aliyeshinda mechi baina yenu ndio anapata faida. Ikiwa mlitoka sare, kinaangaliwa kigezo b.

b) Aliyetangulia kufunga goli mlipokutana.
Kama sare yenu ilikua ni ya magoli, basi kigezo hiki kitaamua mshindi.

NB: Sare ya 0-0 haitaamuliwa kwa kigezo hiki, tunaenda mbele....

3. Nidhamu au disciplinary performance:
Ina sehemu mbili:
a) Documented offences:
Hapa huwa wanaangalia kadi za njano na nyekundu, mwenye kadi chache anapewa ushindi.
Mkifanana hapa, wanaenda sehemu b.

b) Undocumented offences:
Hapa wanaangalia idadi ya jumla ya madhambi (fauls) bila kujali kama kadi zilitolewa ama la. Aliyefanya madhambi machache anapewa ushindi.

NB: Hatutegemei mfanane hadi hatua hii, ikitokea hivi daaah itabidi turushe shilingi (natania, ila nayo inaweza kusimama).

Sasa tuje kwenye matokeo ya Mazembe 2 Simba 0. (Simba Bingwa).

GD watakua wanafanana wote wana +1.
Simba kafunga 4 kafungwa 3 wakati Mazembe kafunga 3 kafungwa 2.
Simba atakuwa bingwa kwa sababu ya sehemu ya pili ya kigezo hiki cha GD, kwa maana ya kwamba yeye ana magoli mengi ya kufunga 4.
Kwahiyo ni bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko .....

Mazembe akishinda 3 Simba 1 (Simba Bingwa). Kivipi, njoo nayo;-

GD watakua wanafanana wote wana +1.
Simba kafunga 5 kafungwa 4 wakati Mazembe kafunga 4 kafungwa 3. Simba ana magoli mengi ya kufunga, anapewa ubingwa.

Mazembe akishinda 4 Simba 2 (Simba Bingwa kwa sababu tajwa hapo juu).

Nirudie kusisitiza:
''Bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko kufunga na Kufungwa magoli machache''

Karibuni...
 
Upo Sawa ila Simba ya kufungwa 3 bila na tp mazembe aliondoka nayo Uchebe!

Kama ulisoma post yangu ya awali hukua na haja ya kuandika ulichokiandika.

Nashukuru lakini, tuko pamoja.
 
Naomba kuchangia hiyo aya ya mwisho, matokeo ya Simba kufungwa 2 - 0 moja kwa moja yanampa Ubingwa Simba. Nitaeleza.

Nianzie kwenye kanuni za mashindano kwanza:

Orodha ya ''viondoa mfanano'' (tie breakers) kwa mashindano haya viko kama ifuatavyo na vimepangwa kwa umuhimu yaani kinaanza kipi, kinafuata kipi (in order of preferences).

1. Goal differences
2. Head to head
3. Displinary performance

Huwezi kutumia kigezo cha pili kabla cha kwanza hakijashindwa kazi, vivyo hivyo huwezi kutumia cha tatu kabla ya cha pili hakijamaliza kazi yake.

1. Goal difference:
Hii ina sehemu mbili:
a) Utofauti wa magoli ya uliyofunga dhidi ya yale uliyofungwa.
Mkifanana hapa, mnaangalia sehemu b.

b) Idadi kubwa ya magoli ya kufunga.
Mfano; Mwenye magoli 2 ya kufunga na kafungwa 2 ana GD ya 0 Sawa na yule mwenye magoli 6 ya kufunga akiwa kafungwa 6.
Kwenye mazingira haya kigezo (1.a) hakitatoa mshindi, ila kigezo (1.b) kitampa faida huyu mwenye magoli 6.

Hivyo ni bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko kufunga na Kufungwa magoli machache.

2. Head to head:
Hii nayo ina sehemu mbili:
a) Matokeo ya jumla.
Aliyeshinda mechi baina yenu ndio anapata faida. Ikiwa mlitoka sare, kinaangaliwa kigezo b.

b) Aliyetangulia kufunga goli mlipokutana.
Kama sare yenu ilikua ni ya magoli, basi kigezo hiki kitaamua mshindi.

NB: Sare ya 0-0 haitaamuliwa kwa kigezo hiki, tunaenda mbele....

3. Nidhamu au displinary performance:
Ina sehemu mbili:
a) Documented offences:
Hapa huwa wanaangalia kadi za njano na nyekundu, mwenye kadi chache anapewa ushindi.
Mkifanana hapa, wanaenda sehemu b.

b) Undocumented offences:
Hapa wanaangalia idadi ya jumla ya madhambi (fauls) bila kujali kama kadi zilitolewa ama la. Aliyefanya madhambi machache anapewa ushindi.

NB: Hatutegemei mfanane hadi hatua hii, ikitokea hivi daaah itabidi turushe shilingi (natania, ila nayo inaweza kusimama).

Sasa tuje kwenye matokeo ya Mazembe 2 Simba 0. (Simba Bingwa).

GD watakua wanafanana wote wana +1.
Simba kafunga 4 kafungwa 3 wakati Mazembe kafunga 3 kafungwa 2.
Simba atakuwa bingwa kwa sababu ya sehemu ya pili ya kigezo hiki cha GD, kwa maana ya kwamba yeye ana magoli mengi ya kufunga 4.
Kwahiyo ni bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko .....

Mazembe akishinda 3 Simba 1 (Simba Bingwa). Kivipi, njoo nayo;-

GD watakua wanafanana wote wana +1.
Simba kafunga 5 kafungwa 4 wakati Mazembe kafunga 4 kafungwa 3. Simba ana magoli mengi ya kufunga, anapewa ubingwa.

Mazembe akishinda 4 Simba 2 (Simba Bingwa kwa sababu tajwa hapo juu).

Nirudie kusisitiza:
''Bora ufunge na kufungwa magoli mengi kuliko kufunga na Kufungwa magoli machache''

Karibuni...
Asante kwa ufafanuzi mzuri sana.
Mechi ya Simba vs Mazembe itakuwa nzuri sana.
Simba akishinda atawatetemesha AS Vita hivyo watakuwa makini zaidi kwenye mechi yao ya nyumbani.
 
Kabisa. Na hiki kitakua kipimo kizuri sana kwa Simba
 
TP amefungwa 2-1 hayo mengine unajua wewe..! Acha kuteseka mkuu
Kiongozi naona hesabu inakuja hivi - mmempiga Al Hilal 4- 1. Yeye kampiga TP 2-1. Kwa hiyo maadam TP Mazembe kafungwa na mnyonge wenu, bado atakuwa nyingi kwenu.
 
Hebu tuwssikie Mazembe wanasrmaje
 
Attachments

  • 776bcf0a9d5e4be796452693b7cfb81c.mp4
    3.3 MB
  • b86e073ace8547acadea517f54ac0b9c.mp4
    4.4 MB
Back
Top Bottom