Kwa mkapa gani tena au nawe umemsikiliza familia KariaHuu muda ungeutumia kuchomoa mwiko nyuma ili siku game Pale kwa mkapa ukae vizuri kushudia mnyama akichukua kombe kibabe sana
Nataka kujua tu sio kwa ubaya, yaani ilikuwaje mpaka wakatangaza viingilio na kuanza kuuza tiketi. Taarifa walipewa na nani?