CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him.
Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues zetu huku sub saharan africa au viwanja vyetu utashangaa sana halafu pia ni walalamishi sana.
Trust me mlisema Uchebe mjeuri huyu ndiye kocha ambaye kama mtamuajiri ataondoka simba kwa matusi na kashfa ambazo baada ya hapo mtaingia uvunguni kwa aibu.
Kingine kikubwa HIVI MMESAHU SENZO YUKO UPANDE WAPILI NA MNALETA M SAUZI HAPO? nyie viongozi jamani, mmekuwa wabishi kwenye kukataa kufanya mazoezi yasiyo ya wazi, mmekuwa wabishi na kamati za ufundi mnaenda kizunguzungu HATA HILI LA MOKOENA MKIINGIA MTEGO MMEKWISHA.
KAMA MMEKOSA KOCHA KAMUOMBENI SUNDAY KAYUNI OTHERWISE RUDINI EASTERN EUROPE.