Simba tafadhali wapokeeni Steven Mnguto na Almasi Kasongo, mliwaponza nyinyi.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu.

Wapeni heshima inayostahili hawa wafia timu wenu kwa kuwapa kazi Simba.
 
masanamu yao yahusike ktk kuwapa heshima hawa watu
 
Ngoja triple "mbu" waje wakupopoe na mawe, hujuw tu jinsi gani wana hasira.
Nalifahamu hilo lakini fact hata ukiimwagia maji hailowani. Kama Hawa jamaa wangekomaa na kanuni zao za kuiongoza ligi Leo hii wangekuwa salama salimini. Na Kuna uwezekano mkubwa kuwa kosa lao kuwa lilikuwa kushindwa kusema NO kutoka Simba au Kutoka kiongozi wa TFF iliyewataka wapepese macho kwenye kanuni. Kwa maana nyingine wameingizwa mkenge na watu ambao Sasa hivi hawataki kujiuzulu
 
Na mwenyekiti wa chama cha waamuzi lazima aondolewe mara Moja, hafai.
 
Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu.

Wapeni heshima inayostahili hawa wafia timu wenu kwa kuwapa kazi Simba.
Hao ndio walipiga simu geti lisifunguliwe
 
Back
Top Bottom