masanamu yao yahusike ktk kuwapa heshima hawa watuKujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu.
Wapeni heshima inayostahili hawa wafia timu wenu kwa kuwapa kazi Simba.
Nalifahamu hilo lakini fact hata ukiimwagia maji hailowani. Kama Hawa jamaa wangekomaa na kanuni zao za kuiongoza ligi Leo hii wangekuwa salama salimini. Na Kuna uwezekano mkubwa kuwa kosa lao kuwa lilikuwa kushindwa kusema NO kutoka Simba au Kutoka kiongozi wa TFF iliyewataka wapepese macho kwenye kanuni. Kwa maana nyingine wameingizwa mkenge na watu ambao Sasa hivi hawataki kujiuzuluNgoja triple "mbu" waje wakupopoe na mawe, hujuw tu jinsi gani wana hasira.
Huyu maandazi anasema nn? MsikilizeNgoja triple "mbu" waje wakupopoe na mawe, hujuw tu jinsi gani wana hasira.
Hao ndio walipiga simu geti lisifunguliweKujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu.
Wapeni heshima inayostahili hawa wafia timu wenu kwa kuwapa kazi Simba.