Mechi za katikati ya wiki zinatakiwa zichezwe kuanzia saa 3 usiku.Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa vibaruani.
Angalau saa 11 au 12 jioni sio mbaya Kwa muda huo mechi kuanza.
Mwamedi Glazerbhai kanjibai janja2 sana huyo.Kwan Mo kashindwa kuweka taa pale BUNJU?
Kwani chamazi hauwezi kutumiwa na zaidi ya timu mbili? Mbona uwanja WA Mkapa ulikuwa unatumiwa na timu tatu KMC, Simba , Yanga na muda mwingine Azam. Utetezi wako hauna mashiko Kwa kuona uwanja WA Azam hauwezi kutumiwa na Simba kisa Yanga na Azam wanautumia.Dsm kuna uwanja gani? wenye taa zaidi ya chamazi ambao unatumiwa na Azam na yanga? unataka wahamie dodoma, manjaliwa ama kaitaba? Kwanza uwanja wa KMC upo mjini na ni mdogo ni rahisi kuujaza hata kwa iyo saa kumi na ukajaa, maana hata watu wa maofisi kama, posta, masaki, oystarbay, kinondoni, makumbusho, mikocheni, ubungo, msasani, tandale, sinza, kariakoo, mbezi,kawe, tegeta nk. maeneo yote tajwa hapa ni rahisi mno kufika mwenge uwanjani. Hoja yako haina mashiko.
Naunga mkonyo andiko lakoDsm kuna uwanja gani? wenye taa zaidi ya chamazi ambao unatumiwa na Azam na yanga? unataka wahamie dodoma, manjaliwa ama kaitaba? Kwanza uwanja wa KMC upo mjini na ni mdogo ni rahisi kuujaza hata kwa iyo saa kumi na ukajaa, maana hata watu wa maofisi kama, posta, masaki, oystarbay, kinondoni, makumbusho, mikocheni, ubungo, msasani, tandale, sinza, kariakoo, mbezi,kawe, tegeta nk. maeneo yote tajwa hapa ni rahisi mno kufika mwenge uwanjani. Hoja yako haina mashiko.
Kwa akili yako hiyo hiyo watu wote hawajaajiriwa?Kwa akili yako mtoa mada ni kwamba watu wote wameajiriwa!?