Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga.
Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo awali haikuwepo. Sasa makolo kama kawaida yenu tafuteni garasa moja pale ukoloni mumuuze kwa bil6, hasa hasa nawashauri mumrudishe Onyango, halafu mumuuze tena ili twende sawa.
Nawasilisha.