Simba tengenezeni rekodi yenu ya kuuza mchezaji bei ghali kumzidi Mayele

Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana ,hv unajua pesa aliyeuzwa Konde boy????
Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga.

Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo awali haikuwepo. Sasa makolo kama kawaida yenu tafuteni garasa moja pale ukoloni mumuuze kwa bil6, hasa hasa nawashauri mumrudishe Onyango, halafu mumuuze tena ili twende sawa.

Nawasilisha.
 
Unadhani tunaishi kwa kuiga nani kafanya nini?
Sie tuko busy kimpango wetu muhimu malengo ya klabu yatimie.
 
Hahaha uongo, leta source
Japo hapo kwa Mayele tumepigwa
20230717_123907.jpg
 
Mayele ni wakawaida sana na hata vilabu vyenye mafanikio barani Afrika havimuhitaji, ila kwa ligi zenye wachezaji wa kipindi ni mzuri.
 
Hakuna mchezaji wa kuuzwa B2.8 hapo, mchezaji amekataa kuendelea kubaki yanga ili kuwapoza machungu mashabiki wa utopolo ndo wameamua kuja na huo uongo..

NB: manara apewe maua yake
Pyramid FC! Imagine!
 
Back
Top Bottom