Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Hakuna mchezaji wa kuuzwa B2.8 hapo, mchezaji amekataa kuendelea kubaki yanga ili kuwapoza machungu mashabiki wa utopolo ndo wameamua kuja na huo uongo..
NB: manara apewe maua yake
Shida inaanzia hapo..Inasemekana.....haya ngoja nikusaidie...euro laki mbili na nusu ni shilingi ngapi?Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga.
Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo awali haikuwepo. Sasa makolo kama kawaida yenu tafuteni garasa moja pale ukoloni mumuuze kwa bil6, hasa hasa nawashauri mumrudishe Onyango, halafu mumuuze tena ili twende sawa.
Nawasilisha.
Kwa Dunia ya sasa ya teknolojia huwezi kudanganya...ingia tovuti ya Pyramids tayari wameshaweka bei waliyomnunuliaHakuna mchezaji wa kuuzwa B2.8 hapo, mchezaji amekataa kuendelea kubaki yanga ili kuwapoza machungu mashabiki wa utopolo ndo wameamua kuja na huo uongo..
NB: manara apewe maua yake
Shida inaanzia hapo..Inasemekana.....haya ngoja nikusaidie...euro laki mbili na nusu ni shilingi ngapi?
Sijui waulize Utopolo...fanya hesabu uweke mezani tuone kama ni hiyo au laKwahiyo euro laki2.5 ndio bilioni 6?
Luis miquissone aliuzwa kwa bei gani Al ahly?Sawa pale simba wapo wengi tu akina sawadogo, okwa, okra, onyango etc je wameuzwa kiasi gani?
Mil700Luis miquissone aliuzwa kwa bei gani Al ahly?
Huyo ni chama, miquissone aliuzwa kwa dola laki 9Mil700
Huyo ni chama, miquissone aliuzwa kwa dola laki 9
Mkuu nisaidie hiyo tovuti ya club ili niwaoneshe watu hiyo amountKwa Dunia ya sasa ya teknolojia huwezi kudanganya...ingia tovuti ya Pyramids tayari wameshaweka bei waliyomnunulia
Nenda tu google andika Pyramids fc..utakuwa ukurasa wa transfer..kila kitu kipo hapoMkuu nisaidie hiyo tovuti ya club ili niwaoneshe watu hiyo amount
Mkuu nisaidie hiyo tovuti ya club ili niwaoneshe watu hiyo amount
Sasa mkuu hiyo si market value tu ambayo haina uhusiano na bei ambayo mchezaji atanunuliwa, na ndomana hapo wamemkadiria kuwa bei yake ni 600M ila watu wanasema atanunuliwa kwa 2B
Hiyo hapoHahaha uongo, leta source
Sasa mkuu hiyo si market value tu ambayo haina uhusiano na bei ambayo mchezaji atanunuliwa, na ndomana hapo wamemkadiria kuwa bei yake ni 600M ila watu wanasema atanunuliwa kwa 2B
Kwa lugha nyepesi ni makadirio tu, ambayo wao waliondika wanaamini kuwa mayele ana thamani hiyo
Kingine, huo ni ukurasa wa transfer market, ni kwa ajili ya kuonesha makaridio ya thamani Kwa club na wachezaji, sasa mbona we unasema habari ipo kwenye tovuti ya pyramid mkuu?
Dola lako 9 kwa andunje huyo? Tuwage serious japo kidogo aisee....Huyo ni chama, miquissone aliuzwa kwa dola laki 9