Simba tengenezeni rekodi yenu ya kuuza mchezaji bei ghali kumzidi Mayele

Unajifariji au siyo,sasa mliyekuwa mkimtegemea hayupo safari hii mtajua hamjui ni suala la muda..
 
Hivi dalali akiuza bidhaa kwa bei kubwa anajisifia kwa ile pesa ya mwenye Mali au ile ya udalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…