Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu nyingine wahasisi wa hii michezo michafu ni simba.
Tunajua mwamed alitumia pesa nyingi nje ya bajeti kufanya hii michezo misimu iliyopita, rejea matukio ya wakina Makonda, rejea baadhi ya matukio mwadui anafungwa wachezaji wanalia baada ya kucheza jihad.
Sasa mi nafikiri kwakuwa wanaoleta nyuzi apa kilalamika kipindi kile walikuwa wanakenua na kufurahia basi ata sasa hivi wafunge midomo yao, mkuki kwa nguruwe, dawa ya moto ni moto ukicheka na kima utavuna mabua.