Simba Timu Bora Tanzania 2023

Simba Timu Bora Tanzania 2023

Bila Simba, Tanzania leo hii tusingekuwa na uwakilishi wowote katika mashindano makubwa zaidi ya vilabu Afrika.

Tusingekuwa na uwakilishi kwenye Champions League toka mwaka jana mwezi wa Octoba, karibu miezi 6 iliyopita. Imagine Tanzania tusiwe na Ubalozi UN au AU kwa miezi 6.
 
IMG_20230321_200558.jpg
5c3f8fe84d794a9c869adbf447b4ae83_336578062_129856996548603_7353580363190724626_n.jpg
 
Umeweka Facts..

Lkn Utopolo Watasema Kule CAF Kuna Mwana Simba Mwanahabari...!

Subiri Uone,
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Back
Top Bottom