Bila Simba, Tanzania leo hii tusingekuwa na uwakilishi wowote katika mashindano makubwa zaidi ya vilabu Afrika.
Tusingekuwa na uwakilishi kwenye Champions League toka mwaka jana mwezi wa Octoba, karibu miezi 6 iliyopita. Imagine Tanzania tusiwe na Ubalozi UN au AU kwa miezi 6.