Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Simba S.C tuache kuizungumzia Yanga S.C kwani kwa kufanya hivyo hatuwabomoi ila tunazidi kuwapaisha
Kitendo cha kila mdau wa Simba kufungua nyuzi za kuiponda Yanga kila muda zinaonesha jinsi sisi washabiki wengi wa Simba S.C tulivyo hamnazo na mbaya zaidi tunadhihirisha ile kauli aliyotuita mwenyekiti wetu mstaafu ndugu Aden Rage kuwa sisi ni mambumbumbu.
Timu yetu ina changamoto nyingi kuanzia kwny uongozi paka benchi la ufundi. Sajili zetu ni mbovu timu haina kocha mkuu na tuna malengo ya kufika semi-final cafcl..
Haya ndio mambo yakujadili ili tusonge mbele.
Hizi nguvu tunazozitumia kuichafua timu nzuri iliyokamilika kila idara ya Yanga S.C tungezitumia kweny kuushauri uongozi wetu tungeweza kupiga hatua kubwa na hatimaye kurudi kwenye mafanikio yetu.
Natumaini tutabadilika na kum prove bwana rage kuwa ilo jina halikustahili kuwa jina letu
Niko tayari kupigwa mawe....
Simba[emoji881][emoji881] nguvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]