Simba tuache kuendekeza Umbumbumbu

Simba tuache kuendekeza Umbumbumbu

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Simba S.C tuache kuizungumzia Yanga S.C kwani kwa kufanya hivyo hatuwabomoi ila tunazidi kuwapaisha

Kitendo cha kila mdau wa Simba kufungua nyuzi za kuiponda Yanga kila muda zinaonesha jinsi sisi washabiki wengi wa Simba S.C tulivyo hamnazo na mbaya zaidi tunadhihirisha ile kauli aliyotuita mwenyekiti wetu mstaafu ndugu Aden Rage kuwa sisi ni mambumbumbu.

Timu yetu ina changamoto nyingi kuanzia kwny uongozi paka benchi la ufundi. Sajili zetu ni mbovu timu haina kocha mkuu na tuna malengo ya kufika semi-final cafcl..
Haya ndio mambo yakujadili ili tusonge mbele.

Hizi nguvu tunazozitumia kuichafua timu nzuri iliyokamilika kila idara ya Yanga S.C tungezitumia kweny kuushauri uongozi wetu tungeweza kupiga hatua kubwa na hatimaye kurudi kwenye mafanikio yetu.

Natumaini tutabadilika na kum prove bwana rage kuwa ilo jina halikustahili kuwa jina letu

Niko tayari kupigwa mawe....

Simba[emoji881][emoji881] nguvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Sisi Yanga tunafurahi mnavyo tuponda kuhusu mechi yetu dhidi ya Al Hilal na mnatuchukulia poa sana, ila baada ya mechi mtashindwa kutofautisha kama Al hilal ni waarabu wa Sudani au wa Tabora tunapokula Matobolwa.
 
Simba S.C tuache kuizungumzia Yanga S.C kwani kwa kufanya hivyo hatuwabomoi ila tunazidi kuwapaisha

Kitendo cha kila mdau wa Simba kufungua nyuzi za kuiponda Yanga kila muda zinaonesha jinsi sisi washabiki wengi wa Simba S.C tulivyo hamnazo na mbaya zaidi tunadhihirisha ile kauli aliyotuita mwenyekiti wetu mstaafu ndugu Aden Rage kuwa sisi ni mambumbumbu.

Timu yetu ina changamoto nyingi kuanzia kwny uongozi paka benchi la ufundi. Sajili zetu ni mbovu timu haina kocha mkuu na tuna malengo ya kufika semi-final cafcl..
Haya ndio mambo yakujadili ili tusonge mbele.

Hizi nguvu tunazozitumia kuichafua timu nzuri iliyokamilika kila idara ya Yanga S.C tungezitumia kweny kuushauri uongozi wetu tungeweza kupiga hatua kubwa na hatimaye kurudi kwenye mafanikio yetu.

Natumaini tutabadilika na kum prove bwana rage kuwa ilo jina halikustahili kuwa jina letu

Niko tayari kupigwa mawe....

Simba[emoji881][emoji881] nguvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
watakuambia we ni uto na sio simba

Ingawa umeongea kweli
 
Mbona na wewe mtopolo Una nyuzi nyingi humu kuizungumzia Simba kwa mabaya huko Yanga hakuna mema ya kuandika hadi kujikita kuandika mabaya ya Simba? Tuondolee Utopolo wako humu
 
Back
Top Bottom