Simba tuache kulialia. Kanuni ya mpira ni kushinda mechi zako

Nimeamini Ngada zimeshawaharibu akili aisee.. mbona huyo sembe mwenzenu kaelezea performance ya Simba sio nzuri ndio maana haipat matokeo chanya, vipi sembe la leo ni la kutoka Colombia??
Mamluki huyo wenyee simbaa yao hawapigagii kelele za Simba mbovu ,ukimuuliza ubovu upo wap ety wanashinda goli moja, wachezaji hawajitumi ingali juzi mtibwa kala tano mnatakaa mshndee kilaa cku tano tano ili iwejee ss,C kila cku ni Cku nzuri kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho timu yenu mbovu ni kweli mlikua bora miaka minne nyuma ila sio sasa hivi wachezaji waliowapa heshima wengi umri umeenda viwango vimeshuka na kwa miaka miwili mfululizo kwa asilimia kubwa mmefanya usajiri wa ovyo na nakuhakikishia nbc premier league safari hii hamuingii top 2.. piga screen shot hii comment yangu tukutane ligi ikiisha
 
Mtazamo wako huo ilaa tutakushangazaa na utaaminii n swalaa la mudaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiambiwa ukweli mamluki.. mpira sio sexy inayofanywa baina ya watu wawili tu.. mpira unachezwa uwanjani na perfomance yenu tunaiona
 
"Team zinacheza na Simba zinakamia, zinacheza na yanga zinajilegeza"

Nimenukuu si maneno yangu.
 
Hapo kwenye bold, Simba hampigi kelele za Simba mbovu, bali mnapiga kelele za Yanga bahasha..!! Swali tunapowagonga nyie ambao si "wabovu", nanyi tunakuwa tumewapa bahasha na mkazipokea?
 
Unakataa halafu unakubali mwenyewe..!! Kifupi unajikontradikti..!! Unaposema suala la muda maana yake nini? Kwamba muda huu hamuwezi kitu mpo bize na ngada
Nasemeaa hapo uliposemaaa hata nafac ya 2 hatushikii ,ndio namii nakwambiaaa kaa kwa kutuliaaa mudaa utaongeaa kulikoo ww unayebwabwajaa hapa...tukutanee mwisho wa ligi ndio ubwabwajee hayaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye bold, Simba hampigi kelele za Simba mbovu, bali mnapiga kelele za Yanga bahasha..!! Swali tunapowagonga nyie ambao si "wabovu", nanyi tunakuwa tumewapa bahasha na mkazipokea?
Wasiojuaa mpiraa ,wenyee mihemko wa Simba na yanga na mashabiki maandazii ndio wanazungumziaa bahashaa kwa hao wasimbaa ,ilaa mm mwana cmbaa ninayejua mpira sionii bahashaa yyt yangaa wanaitoaa maana kilaa timu inayoshiriki ligi inataka kuchukuaa ubingwaa kwann wafelishe mipango yao yakutwaa ubingwaa kisa milion 10 au 20n ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umesema ukweli. Na mechi ijayo nasikia Yanga anacheza na Ihefu ambayo jana tu imetoka kupoteza kwa maafande wa Polisi kwa 1-2! Tena kwenye uwanja wao wa nyumbani.

Sasa timu dhaifu kama hii kwenye ligi ya NBC msimu huu ikifungwa na Yanga, baadhi ya mashabikinwa simba wanaleta porojo zao za fixed match! Tangu wafahamu maana ya hilo neno, hatunywi maji.
 
Unajua point ambazo tumekusanya caf ndio zinatufanya tupo makundi na sio performance ya timu Kwa Sasa Kwa sababu Kwa kuwa na point nyingi caf tunapata favourable draw kwny hatua yamtoano. FA bado haijaanza na ligi ndio ivo tayari tushaanza kupigwa gape na bila kusahau community shield tulipoteza Kwa mara ya pili mfululizo Kwa timu ileile ambayo Leo tunaishutumu kununua mechi..

We kama unaona performance ya Simba ni nzuri nitakuweka kwenye kundi la mashabiki wapumbavu wasiojua soka
 
Watu wengi wa mpira baada tu ya usajili walishaiona Simba ni mbovu, kilicho saidia timu ilicheza dhidi ya wapinzani dhaifu kwenye champion league hasa wale wa Malawi.
Baada ya mechi zile watu wakajisahau kama hii timu haiposawa, kitu ambacho wengi awafahamu Kiwango unacho kiona Sasa ni juhudi kubwa sana za wachezaji na mwalimu Mgunda.
Yaani kwasasa timu Ipo kwenye kiwango chake Cha juu kabisa, hawana chakutoa zaidi ya hapo walishakosea katika usajili wasubiri dirisha dogo.
 

Na wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…