mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Kila mtu anajua kuwa Mmii mwarabu feki ni shabiki wa kutupwa wa Mnyama Simba S.C na Hilo nimelithibitisha Kwa nyuzi zangu nyingi humu jamvini.
Kitendo cha Yanga kutinga nusu fainali ya michuano hii mikubwa barani Afrika ni jambo ambalo kila mtanzania anapaswa kujivunia.
Wanasimba wengi wamechukizwa na mafanikio haya ya Yanga bila sababu yoyote ya msingi zaidi tu ni wivu.
Niwasihi Wana lunyasi wenzangu wakiongozwa na popoma GENTAMYCINE tusiwaonee gere Hawa ndugu zetu utopolo na badala yake tujifunze kufanikiwa kimataifa kupitia wao.