Simba tuamke sasa, tuache kusubiri miujiza

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Kuna kila dalili timu yetu imekuwa na underground management crisis ambayo kwa nje hatuoni. Ni vizuri tuamue hatma ya timu yetu sasa kabla haijawa worse zaidi next season.

Hii timu tulikubaliana iendeshwe kisasa lakini lazima tujue kuna watu wana maslahi yao "kiulaji" na pia mwekezaji ana mipango yake. Ni dhahiri mwekezaji ameshindwa kufanya mambo aliyoahidi kwa uwazi wa kutosha ili uwekezaji wake utoke kwenye masimulizi na tuone macho thamani ya huo uwekezaji.

Pia wale wazee wa maslahi ni dhahiri wakilamba asali wanamsifia mwekezaji lakini mirija ikikatwa ndio wanakumbuka kuwa Simba inahitaji kujitegemea!

Mpaka sasa inaonekana timu inamtegemea mtu badala ya kusimama yenyewe! Tunasema tayari tuna 20 bilioni lakini tunasajili wachezaji average ambao hawawezi kuifunga hata Geita Gold.

Haya mauza mauza ya timu ni moja ya sababu kuu ni uongozi kugawanyika na mara nyingi hii imetokea huko nyuma lakini kila mara inajirudia na ku resolve lakini inakuwa imeshaacha majeraha yasiyotibika.

Si kweli na huu uongo unaochagizwa hadi na wachambuzi kuwa daby ni daby hata uwe na timu bora kiasi gani! Huwezi kuwa na timu bora kiwango cha kushinda game za ndani na nje za kimataifa alafu usumbuliwe na Yanga! Tunahitaji wachezaji bora! Haina maana kuwa na professional player anayewekwa benchi na wazawa!

Wekeni sawa mambo yenu ya kiutawala na hasa uwazi wa uendeshaji wa timu. Tafuteni kocha bora mwenye historia ya makombe na anayejua soka la Afrika atumie uzoefu wake kuleta watu wa maana saba na kumbakisha Inonga, Chama na Bwalya tu.

Wekeni msingi wa uwazi ili kuondoa migogoro na kuturudisha enzi timu inaendeshwa kienyeji. Matatizo yote yameanzia huko na mnajua wote nini kinaendelea ndani. Wadau wa Simba tunafatilia kwa karibu hatutaki short cut!

Simba is beyond just a football club, imebeba furaha za watu na wengine hufa kwa pressure. Msicheze na kazi nzuri mliyokwisha anza na mnataka kuiharibu kwa siasa za kizamani za mitaa ya Kariakoo na twiga.
 
Makolo kelele sananataka kila msimu mshinde nyie tu

USSR
 
Ndio kwasababu misimu minne tumecheza game za kimataifa kiushindani tulipaswa kuwa bora kuliko nyie kiuzoefu na ubora wa timu. Huu msimu jinsi tulivyopoteza points wala si mpira ni mambo ya ovyo tu.

Msimu huu Yanga alikuwa apoteze tena ubingwa ila sisi ndio tumempa ubingwa kwa kupoteza hadi game nyepesi kabisa.

Ukiona Simba haipati matokeo mfululizo hadi game nyepesi mara nyingi ujue tayari kuna shida kwenye utawala. Wachazaji wengi pia wana mafather mle kama ilivyo Yanga pia! Ndio mpira wetu ulivyo na hatuwezi kwenda namna hii.
 
Nyie ndio mmempa YANGA ubingwa? Tengua kauli yako fasta
 
Pamoja na kuwa na kikosi kibovu Simba angekua serious na kila game ,saiz yanga wangekua wanaongea mengine.

Sioni yanga km Wana timu nzuri kiasi hicho zaidi kilichowabeba ni kufanya kila mchezo ni fainali kwao ,tokea ligi ianze hawajawah Leta masihara wanacheza kwa kujituma tofaut na Simba ambao walianza ligi kwa mazoea wakiamin hili litawabeba km inavyokua kwa misimu mingine.

Nikikumbuka mechi tulizopoteza ni ujinga wa kocha kudharau hizo mechi pia kutokua na first eleven .

Narudia Tena yanga ni timu ya kawaida Sana na wasijejichanganya wakaenda na hiyo timu kimataifa ,kitakachowapa hawataamini macho yao.pale yanga wanatakiwa wajue Hilo kuwa hawana timu ya kushindana kimataifa zaidi wanapaswa kusajir usajir wa maana Tena wenye nguvu .

Hitimisho ,Simba angekua na kikosi Bora shirikisho tusingecheza Bali tungepambana huko huko club bingwa .mazoea ndio wametugharimu Wana lunyasi hakuna kingine .
 
Shida yenu kubwa inaanzia hapo, mambo ya kiufundi mnachanganya na mihemko! Sasa Mkuu, tukisema kila mtu atoe mapendekezo nani abaki nani atoke ktk timu inakua haina maana ya kua na technical bench..

Inamaana kila Shabiki ni Mwalimu?
 
Huwezi kusema wachezaji wote wameshuka kiwango kwa wakati mmoja,bocco ,mugalu ,kagere haiwezekani viwango vishuke wote kwa pamoja,hatuna mwalimu na management nzuri,mwaka mzima wachezaji hawana chemistry kina sakho wanacheza wanavyojua , Bwalya naye haeleweki kama msnge baridi wa kuwekwa na kuweka pia
 
Tumewapa ubingwa kirahisi, kama tungecheza kwa ari kidogo tu mngekuwa Avic Town mnaulizana.
Hakuna ari yoyote ile ambayo ingewaletea maajabu! Uwezo wenu ndiyo ulifikia hapo. Mjipange tu kwa msimu ujao.
 
Pamoja na kuwa na kikosi kibovu Simba angekua serious na kila game ,saiz yanga wangekua wanaongea mengine.

Sioni yanga km Wana timu nzuri kiasi hicho zaidi kilichowabeba ni kufanya kila mchezo ni fainali kwao ,tokea ligi ianze hawajawah Leta masihara wanacheza kwa kujituma tofaut na Simba ambao walianza ligi kwa mazoea wakiamin hili litawabeba km inavyokua kwa misimu mingine.

Nikikumbuka mechi tulizopoteza ni ujinga wa kocha kudharau hizo mechi pia kutokua na first eleven .

Narudia Tena yanga ni timu ya kawaida Sana na wasijejichanganya wakaenda na hiyo timu kimataifa ,kitakachowapa hawataamini macho yao.pale yanga wanatakiwa wajue Hilo kuwa hawana timu ya kushindana kimataifa zaidi wanapaswa kusajir usajir wa maana Tena wenye nguvu .

Hitimisho ,Simba angekua na kikosi Bora shirikisho tusingecheza Bali tungepambana huko huko club bingwa .mazoea ndio wametugharimu Wana lunyasi hakuna kingine .
Kama Makolo na wachezaji wao wa hovyo kina Mugalu, Mzamiru,Kibu wamefika robo,nawaona Yanga wakienda mbali zaidi
 
Pamoja na kuwa na kikosi kibovu Simba angekua serious na kila game ,saiz yanga wangekua wanaongea mengine.

Sioni yanga km Wana timu nzuri kiasi hicho zaidi kilichowabeba ni kufanya kila mchezo ni fainali kwao ,tokea ligi ianze hawajawah Leta masihara wanacheza kwa kujituma tofaut na Simba ambao walianza ligi kwa mazoea wakiamin hili litawabeba km inavyokua kwa misimu mingine.

Nikikumbuka mechi tulizopoteza ni ujinga wa kocha kudharau hizo mechi pia kutokua na first eleven .

Narudia Tena yanga ni timu ya kawaida Sana na wasijejichanganya wakaenda na hiyo timu kimataifa ,kitakachowapa hawataamini macho yao.pale yanga wanatakiwa wajue Hilo kuwa hawana timu ya kushindana kimataifa zaidi wanapaswa kusajir usajir wa maana Tena wenye nguvu .

Hitimisho ,Simba angekua na kikosi Bora shirikisho tusingecheza Bali tungepambana huko huko club bingwa .mazoea ndio wametugharimu Wana lunyasi hakuna kingine .
Pumzi ya motoo.. yote haya kayaleta Feisal

Mada ni ya Simba ila nusu ya comment inazungumzia Yanga.
9fb2589e55c2489185e38acb740acaf4.jpg
 
M
Pamoja na kuwa na kikosi kibovu Simba angekua serious na kila game ,saiz yanga wangekua wanaongea mengine.

Sioni yanga km Wana timu nzuri kiasi hicho zaidi kilichowabeba ni kufanya kila mchezo ni fainali kwao ,tokea ligi ianze hawajawah Leta masihara wanacheza kwa kujituma tofaut na Simba ambao walianza ligi kwa mazoea wakiamin hili litawabeba km inavyokua kwa misimu mingine.

Nikikumbuka mechi tulizopoteza ni ujinga wa kocha kudharau hizo mechi pia kutokua na first eleven .

Narudia Tena yanga ni timu ya kawaida Sana na wasijejichanganya wakaenda na hiyo timu kimataifa ,kitakachowapa hawataamini macho yao.pale yanga wanatakiwa wajue Hilo kuwa hawana timu ya kushindana kimataifa zaidi wanapaswa kusajir usajir wa maana Tena wenye nguvu .

Hitimisho ,Simba angekua na kikosi Bora shirikisho tusingecheza Bali tungepambana huko huko club bingwa .mazoea ndio wametugharimu Wana lunyasi hakuna kingine .
Msimu huu viporo mlivyokuwa mkitengenewa hamna,manake mshazoea mda kama huu mnamechi saba mkononi wenzenu wanatano.

Ndio maana mlikuwa mijiamini sana "ohooo Simba round ya pili wanakuwa vizuri........",ila ngojea tuone mnaweza kuchukua ubingwa round ya pili bado haijaisha.

Tatizo lenu Simba hata na sisi Yanga ni tunalo, usajili kufanywa na kusimamiwa na watu wasiojua mpira au wasiona ona vipaji vya wachezaji (maskauti) wapo pale kupiga hela (Viongozi wenu). Mo ana malengo mazuri ila viongozi wa Simba wanamkwamisha, kuna tetesi Manula mkataba mpya kalipwa 250m,cha ajabu Manula kala 40 huyo kiongozi wa Simba kala 210 ,tunasikia kuna zogo la chini kwa chini linafukuta kati ya Manula,Mo na huyo kiongozi aliye chukua 210m.

Unataka kushinda mataji makubwa then una wauza wachezaji wakubwa bila kutafuta hata replacement yao ya uhakika, unaokota okota watu huko unawadanganya watu kwenye maredio, eti Banda alikataa kwenda kucheza ligi kuu ya Uturuki akaichagua Simba yaani mwenyekiti wenu anaongea hivi kwenye redio ya EFM maneno ya kadalidalali.

Unataka kuwa mzuri Shirikisho au Championship basi husiuze vifaa vyako bila kuwa na plan ya uhakika, matokea yake nimemsikia MO anataka kufumua timu, sawa ni jambo zuri ila unaweza ukashangaa, timu inafumiliwa Pablo bin Madrid anaondoshwa then wanaanza kufanya usajili chini viongozi wenu baadae ndio mnakuja kumsajili kocha, mnampa timu ambayo hajaisajili yy,then mnategemea awape ubingwa,mnajinasibu timu kubwa ila still mnauswahili mwingi mno.
 
Nyie ndio mmempa YANGA ubingwa? Tengua kauli yako fasta
Unabisha ata ilo pia,kama yanga anashinda mechi zake na simba ivyo ivyo ,wenyewe kwa wenyewe mechi zote zimeisha sare maana yake saiz ingekua wapo sawa ,ila mmoja akiyumba ni rahisi kumpa nafas mpinzan sio kwa simba tu ndo mpra ulivyo ,ata mwaka jana yanga alisuluhu sana ikampa nafas simba kuwa na gap
 
Huwezi kusema wachezaji wote wameshuka kiwango kwa wakati mmoja,bocco ,mugalu ,kagere haiwezekani viwango vishuke wote kwa pamoja,hatuna mwalimu na management nzuri,mwaka mzima wachezaji hawana chemistry kina sakho wanacheza wanavyojua , Bwalya naye haeleweki kama msnge baridi wa kuwekwa na kuweka pia
Bocco ,kagere,mugalu, mwaka jana muda kama huu wana magol kila mmoja 10+ lkn leo hii anaeongoza ana gol 7, alafu unabisha hawajashuka kiwango, karbia wachezaji wote wa simba wameshuka kiwango ,mbaya zaid wakasajili ambao na wao amna ata mwenye kiwango cha kuendelea zaid ya inonga baka , kiuhalisia wa mpra aya matokeo wanayopata simba wamestaili kabisa tena kama yanga ,azam na wengine wangekua na kiwango kizur zaid msimu huu simba hakustaili kuwa ata top 2 , siasa na mpra haziendani umekua na timu ambayo miaka 4 inabeba ubingwa apo una machaguo mawil uendelee kutawala so lazma uwazd wapinzan wako ambao na wao kila mwaka wanajua ubora wako na wao lazma watakua wanataka kushindana na ww,kwa kuwa na wachezaj wazur na uongoz mzur na nk na chaguo lingine useme mm ndio bora utaish kwa mazoea mwsho wako unaanguka sasa simba kwa usajil walioufanya walichagua kufel ili wajipange ,ujinga wa mpra ni kama ngum au vita ad upgwe ndio utakubal umeshindwa ila mwanzon ata ukiwa dhaifu kukir inakua shida , kama viongoz wanajua kosa wamefanya wao watapga propaganda kwa mashabik wao ila ukwel wanaujua ,hawakuziba mapungufu yao ya nyuma bado wakaongeza mengine alaf watu wakuangalie tu kisa simba
 
Unabisha ata ilo pia,kama yanga anashinda mechi zake na simba ivyo ivyo ,wenyewe kwa wenyewe mechi zote zimeisha sare maana yake saiz ingekua wapo sawa ,ila mmoja akiyumba ni rahisi kumpa nafas mpinzan sio kwa simba tu ndo mpra ulivyo ,ata mwaka jana yanga alisuluhu sana ikampa nafas simba kuwa na gap
Hapo hajampa sasa. Mmoja kawa na bidii ya upambanaji na mwingine kawa mzembe hasara kwake. Acheni kauli za hovyo. Football sio ujanja ujanja
 
Kwa ufupi timu imepasuka! Sasa tuliyosema ndio yanayoka hadharani. Hakuna umoja na tunahijumiana ili tufeli sababu ya baadhi ya viongozi kuwa uchu wa madaraka na michongo ya fedha.
 
Ndio kwasababu misimu minne tumecheza game za kimataifa kiushindani tulipaswa kuwa bora kuliko nyie kiuzoefu na ubora wa timu. Huu msimu jinsi tulivyopoteza points wala si mpira ni mambo ya ovyo tu.

Msimu huu Yanga alikuwa apoteze tena ubingwa ila sisi ndio tumempa ubingwa kwa kupoteza hadi game nyepesi kabisa.

Ukiona Simba haipati matokeo mfululizo hadi game nyepesi mara nyingi ujue tayari kuna shida kwenye utawala. Wachazaji wengi pia wana mafather mle kama ilivyo Yanga pia! Ndio mpira wetu ulivyo na hatuwezi kwenda namna hii.
Yanga haijapewa ubingwa na Simba kama mtoto anaepewa pipi bali imeuchukua ubingwa kwa nguvu na kibabe ushahidi ni goli la Feisaaaaaaaaalll pale Kirumba mbona mlishindwa kusawazisha na kikosi chenu kipana.

Simba imefungwa mara nyingi na Yanga katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Mayele, Mauya, Morrison, Feisal wote washaipasua Simba!

Simba ni timu mbovu kinoma sema promo nyingi sana tu Simba Simba kila saa hadi mmetuharibia watoto wetu eti nao wanapenda wabovu makolo fc.

Sasa ngoja mikia muone kama mtabeba tena kombe la ligi labda Nabi na Kaze waondoke Yanga na sasa Sureboy kiwango kimerudi mtakoma!!

sisi ni wababe wenu tunapokutana vibanda umiza muwe mnatuamkia "shikamoo wananchi" kiitikio sio "marahaba" bali "sisi tuna watu!!
 
Back
Top Bottom