Simba tujipange vizuri dhidi ya Power Dynamos, maadui zetu wamejipanga kutuangusha wabakie wao tu

Mfe tu,na baya lolote liwakute
 
Umeongea point sana ila hapo unaposema "mama ana kazi kubwa" mama yupi huyo?
 
Yanga kujifanya hamuandiki nyuzi za hivi sio kwamba nyie sio walozi..na nyie wanga tuuu...
Japo siungi mkono mada...
 
Hivi simba hamuwezi kuongelea mpira bila kuhusisha ushirikina?
 
Wanaendekeza saana ushirikina, eti mchezaji amefungwa miguu.
 
Yan kiongozi wa Yanga atoke hadaharani awalemee watu waliovaa jezi za Yanga wakiwapokea wapinzani? Uko sawa kweli mkuu, yan hata wewe ungekua kiongozi unngeamzaje kukemea jambo kama hilo?
 
Hao dyamos ukichanganya na kinyesi fc tunaweza kuwatwanga wote .
 
Watu wachache mnafanya mashabiki wa Simba waonekane Mazuzu Kila wakati.
 
We jamaa wewe! Badala ya kujikita katika kukiimarisha kikosi chenu kwa mbinu za soka za kiufundi, wewe unazungumzia mbinu za kisangoma!? Pambaneni na hali zenu, acheni kutafuta visingizio. Shubamit [emoji10][emoji10][emoji19][emoji867]
 
Wanafungwa miguu kwa kutumia nini. Hahahahahahahahahahahahahahaaha......

Aiseh..!
.huu ndio upuuzi mkifungwa mnasingizia kulogwa.waambieni wachezaji wenu kwamba wakubali tu umri umeshawaacha.. Wakapumzike walee watoto sasa.
Mtu unajijua kabisa umri wako sio wa kukimbizana na watoto..ukianguka unasingizia umelogwa.

Kumbuken mashehe wenu mnaowatumia kwenye olozi wamefundishwa ulozi na hao mnaotakiwa kuwaloga.
Hahahahahahahahahahahahahaha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…