Simba tujipange vizuri dhidi ya Power Dynamos, maadui zetu wamejipanga kutuangusha wabakie wao tu

Simba tujipange vizuri dhidi ya Power Dynamos, maadui zetu wamejipanga kutuangusha wabakie wao tu

Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
Mfe tu,na baya lolote liwakute
 
Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.

Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Umeongea point sana ila hapo unaposema "mama ana kazi kubwa" mama yupi huyo?
 
Yanga kujifanya hamuandiki nyuzi za hivi sio kwamba nyie sio walozi..na nyie wanga tuuu...
Japo siungi mkono mada...
 
Hivi simba hamuwezi kuongelea mpira bila kuhusisha ushirikina?
 
Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.

Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Wanaendekeza saana ushirikina, eti mchezaji amefungwa miguu.
 
Mashabiki wa Uto walikuwa wanaenda airport kuwapokea wapinzani wa simba na hakuna kiongozi wa uto aliwahi kukemea. Wana uto walikuwa wanatangazia ulimwengu kwamba simba inapuliza sumu vyumbani kwa wapinzani au iko tayari kuua ili kushinda.
Hii yote uto alikuwa anafanya ili tufanane kwa kushindwa.

Sasa kwa matukio hayo wewe unaanzaje kuwawekea dhamana wana uto wenzio wote kuwa wamebadilika?
Yan kiongozi wa Yanga atoke hadaharani awalemee watu waliovaa jezi za Yanga wakiwapokea wapinzani? Uko sawa kweli mkuu, yan hata wewe ungekua kiongozi unngeamzaje kukemea jambo kama hilo?
 
Hao dyamos ukichanganya na kinyesi fc tunaweza kuwatwanga wote .
 
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
Watu wachache mnafanya mashabiki wa Simba waonekane Mazuzu Kila wakati.
 
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
We jamaa wewe! Badala ya kujikita katika kukiimarisha kikosi chenu kwa mbinu za soka za kiufundi, wewe unazungumzia mbinu za kisangoma!? Pambaneni na hali zenu, acheni kutafuta visingizio. Shubamit [emoji10][emoji10][emoji19][emoji867]
 
Wanafungwa miguu kwa kutumia nini. Hahahahahahahahahahahahahahaaha......

Aiseh..!
.huu ndio upuuzi mkifungwa mnasingizia kulogwa.waambieni wachezaji wenu kwamba wakubali tu umri umeshawaacha.. Wakapumzike walee watoto sasa.
Mtu unajijua kabisa umri wako sio wa kukimbizana na watoto..ukianguka unasingizia umelogwa.

Kumbuken mashehe wenu mnaowatumia kwenye olozi wamefundishwa ulozi na hao mnaotakiwa kuwaloga.
Hahahahahahahahahahahahahaha.....
 
Back
Top Bottom