Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 168
- 334
Atatoa pesa? Umsajili mtu kama Camara wa berkane..mwendo wa miln 600 na kuendelea ..tusema akina mpanzu kama 7 hivi ...shida za kusajili kwa kubahatisha wachezaji wengine waliosajiliwa hawaonekaniFadlu ndio man of the match kwangu aongezewe wachezaji wa maana kwenye usajili
Nadhan alitaka kushikilia bomba kipindi cha kwanza angalau iwe bila bila then kipindi cha pili aje na mfumo wa back 3 kama suprise angeanza na huo mfumo mapema huenda angekuwa amewahi kucheza karata yake ya siri ,ila kama kocha unapanga lako ila hauwezi ku control kinachotokea uwanjaniPamoja na Mazuri yote ya Fadru kuna makosa alikuwa ameyafanya.
Alijua Ubora wa Berkane Dakika 20 za kwanza na Alisema kwenye Press Ila alishindwa kabisa kukabiliana na Berkane kipindi cha kwanza.
Kama ningekuwa mimi ningeanza na mabeki wa kati 3
Wing bak 2.
Viungo wakabaji 4
Nouma na Debora wasingekosekana kipindi cha kwanza
Mbele angekaa kibu peke yake.
KabisaFadlu ndio man of the match kwangu aongezewe wachezaji wa maana kwenye usajili
Wakati mwingine ni namna ya kuanza upya au ukuaji wa timu au huenda kocha akatamani kupiga hatua zaidi sitegemei Fadlu kukaa zaidi ya miaka miwili au mitatuFadlu ni kocha ila kama ilivyo kwa wengine nae atafukuzwa ama kutoongezwa mkataba
Nchi haitaki akili hii
Kocha ana akili wachezaji vilaza!Fadlu ni kocha ila kama ilivyo kwa wengine nae atafukuzwa ama kutoongezwa mkataba
Nchi haitaki akili hii
Kapombe anakamia kukaba hajui wao ndio zile hamsa za miaka ile waliosababishaMoja ya sababu ya kumtoa kibu ni, upumbavu wa kibu kudondoka Kila wakati anapopata mipira huku akimuangalia referee kutafuta hisani ya mwamuzi, Jana haikufanya kazi hio mbinu.
Hata ukabaji wake ni wa mihemko Kila akikaba alikua anakuta mpira haupo anabaki kushangaa.
angali Jana Kapombe alionekana akikaba kwa Kasi na kukurupuka akizifanya zile slide tackle hewa .
Kumuinguza nouma iliokoa sana ndipo tulipomuona Chamou akishika nafasi kubwa kukaba upande wa kulia zaidi.
Camara dau lake ni Bilion 36Atatoa pesa? Umsajili mtu kama Camara wa berkane..mwendo wa miln 600 na kuendelea ..tusema akina mpanzu kama 7 hivi ...shida za kusajili kwa kubahatisha wachezaji wengine waliosajiliwa hawaonekani
Unaongea mpira apoo kweny kochi la shemeji yako kirahis ivo kama umeshiba makande.Baada ya kuwa 0-0 Kipindi cha pili ningeingiza.
Ohua.
Mpanzu.
Mutale
Mukwala.