Hakuna namna au miujiza ya kuifunga Barken. Nawaomba viongozi wangu wa Simba wakubali tu kwenda kucheza Zanzibar game ya marudiano. Hatutapata aibu kama itakavyokuwa kwenye uwanja wa Mkapa.
Tena tushukuru Mungu, jana ilikuwa tupigwe goli 5
Halafu MO katuangusha sana, yaani kashindwa kuyajenga mapema na waamuzi kama anavyofanyaga. Karia yeye siwezi kumlaumu kwasababu yeye hawamudu waamuzi wa nje ila wa ndani tu
Halafu ile kamati ya giza ni vema ikapeleka mbuzi mapema ili kuepusha taharuki