Kwa kwl nilitetemeka, wale jamaa hapana mkuu, japo mpira una matokeo ya kustaajabisha ila sioni uwezekano wa simba kupindua matokeoKama waamuzi wasingekua na makando kando Goli la Berkane na matuta waliyo stahili wangepewa.
Jamaa Wana quality kubwa kuliko Simba ila Bongo wachambuzi wa vibahasha wanazipamba sana timu zetu kuliko uhalisia.
Unaona Berkane wachezaji wote wamekimbia si chini ya kilometa 10 na Wanacheza kama siafu, kama si marefa ilikua Dhahama kubwa.
Tusitegemee Berkane acheze kwa kupoteza muda. Wale jamaa ni nyuki na wanashambulia mwanzo mwisho. Na kiu yao itakuwa ni kupata goli la ugenini mapema TUCHANGANYIKIWE.Mechi bado hii
Hawa wakija Bongo Mechi saa 10 ππ Silaha Yao kubwa itakua kupoteza mda
Tumeshuhudia Ma Giants wa Africa Wakitembelea Meno iwe hawa wazee wa machungwa.
Simba Atapata Hizo Chuma 2 Na Ataionyesha Africa Kwann Unatakiwa Uiogope Simba inapokua ndan ya Ardhi ya Tanzania
Naunga mkono hoja.Hakuna namna au miujiza ya kuifunga Barken. Nawaomba viongozi wangu wa Simba wakubali tu kwenda kucheza Zanzibar game ya marudiano. Hatutapata aibu kama itakavyokuwa kwenye uwanja wa Mkapa.
Tena tushukuru Mungu, jana ilikuwa tupigwe goli 5
Halafu MO katuangusha sana, yaani kashindwa kuyajenga mapema na waamuzi kama anavyofanyaga. Karia yeye siwezi kumlaumu kwasababu yeye hawamudu waamuzi wa nje ila wa ndani tu
Halafu ile kamati ya giza ni vema ikapeleka mbuzi mapema ili kuepusha taharuki